Loading...
title : BREAKING NEWZZZ:MSANII MAARUFU WA BONGOFLEVA AFARIKI DUNIA
link : BREAKING NEWZZZ:MSANII MAARUFU WA BONGOFLEVA AFARIKI DUNIA
BREAKING NEWZZZ:MSANII MAARUFU WA BONGOFLEVA AFARIKI DUNIA
Hivi punde chumba cha habari Globu ya Jamii imepokea taarifa za kusikitisha/huzunisha zinazohusu aliyekuwa Msanii mahiri katika miondoko ya kughani a.ka Rap almaarufu kwa jina la Godzilla amefariki Dunia.
Taarifa zinaeleza kuwa Msanii huyo maye kwa jina halisi anaitwa Golden Mbunda,aliyekuwa akitikisa anga ya bongofleva katika miondoko ya hip hop nchini ,amefariki Dunia ghafla usiku wa kuamkia leo Jumatano Februari 13,2019 akiwa nyumbani kwao maeneo ya Salasala,jijini Dar.
Mwili wake umepelekwa kuhifadhiwa katika hospitali ya Lugalo,Mwenge.
Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahali pema peponi-AMIN.
TUTAENDELEA KUWAJUZA HABARI ZAIDI KADIRI ZITAKAVYOKUWA ZIKIINGIA.
Hivyo makala BREAKING NEWZZZ:MSANII MAARUFU WA BONGOFLEVA AFARIKI DUNIA
yaani makala yote BREAKING NEWZZZ:MSANII MAARUFU WA BONGOFLEVA AFARIKI DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWZZZ:MSANII MAARUFU WA BONGOFLEVA AFARIKI DUNIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/breaking-newzzzmsanii-maarufu-wa.html
0 Response to "BREAKING NEWZZZ:MSANII MAARUFU WA BONGOFLEVA AFARIKI DUNIA"
Post a Comment