Loading...

FIFA KUMFUNGIA MAISHA ODEN MBAGA KUTOJIHUSISHA NA MASUALA YA MPIRA WA MIGUU.

Loading...
FIFA KUMFUNGIA MAISHA ODEN MBAGA KUTOJIHUSISHA NA MASUALA YA MPIRA WA MIGUU. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa FIFA KUMFUNGIA MAISHA ODEN MBAGA KUTOJIHUSISHA NA MASUALA YA MPIRA WA MIGUU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : FIFA KUMFUNGIA MAISHA ODEN MBAGA KUTOJIHUSISHA NA MASUALA YA MPIRA WA MIGUU.
link : FIFA KUMFUNGIA MAISHA ODEN MBAGA KUTOJIHUSISHA NA MASUALA YA MPIRA WA MIGUU.

soma pia


FIFA KUMFUNGIA MAISHA ODEN MBAGA KUTOJIHUSISHA NA MASUALA YA MPIRA WA MIGUU.


Na Agness Francis, blogu ya Jamii. 

KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) chini ya Mwenyekiti wake Vassilios Skouris imemfungia maisha Mwamuzi wa zamani wa Kimataifa ambaye pia ni Katibu wa Chama Cha Waamuzi Tanzania (FRAT) Oden Charles Mbaga,  kwa kujihusisha na masuala ya rushwa kwa  kupanga matokeo.

Baada ya uchunguzi uliofanyika kuanzia July 11,2018 Mbaga amekutwa na hatia ya kuhusika kwenye upangaji wa matokeo ikiwa ni kinyume na kanuni za maadili za FIFA. 

Afisa Habari na Mawasiliano Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF)  Cliford Ndimbo amesema kuwa muamuzi huyo amevunja Ibara ya 11 ya Kanuni ya rushwa ya FIFA ya mwaka 2009,kinachompelekea kufungiwa maisha kutojihusisha na shughuli zozote za Mpira wa Miguu katika ngazi ya Kitaifa na Kimataifa kwa mujibu wa Ibara ya 7j ya Kanuni za Maadili za FIFA za mwaka 2018 pamoja na Ibara ya 22 ya Kanuni ya Nidhamu ya FIFA.

Aidha Mbaga anatakiwa kulipa faini ya kiasi cha fedha ya Uswis Faranga 200,000 ndani ya siku 30 tokea amepata taarifa hizo ambapo pia  anaweza kulipa kwa fedha ya Swiss au kwa dola za Kimarekani. 

Vile vile anatakiwa kulipa gharama za shauri hilo kiasi cha Faranga za KiSwiss 1,000 ndani ya siku 30 tokea amepata taarifa.

Mbaga anaweza kukata rufaa kwenye mahakama ya kimichezo ya FIFA CAS,rufaa ambayo inawasilishwa moja kwa moja CAS ndani ya siku 21 tokea maamuzi yalipofanyika na ndani ya siku 10 baada ya kumalizika siku 21.

"Kutokana na makosa yake Mbaga ambaye ni Katibu wa Chama cha Waamuzi Tanzania (FRAT) anapoteza sifa ya nafasi hiyo kutokana na adhabu ya kufungiwa maisha kutojihusisha na masuala ya Mpira wa Miguu"amesema Ndimbo.


Hivyo makala FIFA KUMFUNGIA MAISHA ODEN MBAGA KUTOJIHUSISHA NA MASUALA YA MPIRA WA MIGUU.

yaani makala yote FIFA KUMFUNGIA MAISHA ODEN MBAGA KUTOJIHUSISHA NA MASUALA YA MPIRA WA MIGUU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala FIFA KUMFUNGIA MAISHA ODEN MBAGA KUTOJIHUSISHA NA MASUALA YA MPIRA WA MIGUU. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/fifa-kumfungia-maisha-oden-mbaga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "FIFA KUMFUNGIA MAISHA ODEN MBAGA KUTOJIHUSISHA NA MASUALA YA MPIRA WA MIGUU."

Post a Comment

Loading...