Loading...
title : JR SAOURA YASAFISHA NJIA SIMBA KUTINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABIGWA AFRIKA
link : JR SAOURA YASAFISHA NJIA SIMBA KUTINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABIGWA AFRIKA
JR SAOURA YASAFISHA NJIA SIMBA KUTINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABIGWA AFRIKA
Klabu ya Saoura ya Algeria imefanikiwa kuichapa AS Vita kwa bao 1-0 katika mchezo wa Makundi Ligi ya Mabingwa barani afrika.
Ushindi wa Saoura umemoa nafasib klabu ya Simba kubaki katika nafasi ya pili Kundi D, huku AS Vita ikivuta mkia katika kundi hilo.
Kwa sasa, kablu ya Al Ahly ambayo imepokea kichapo cha bao moja kwa kwa nunge kutoka kwa Simba inaongoza kwa kuwa na pointi saba, ikifuatiwa na Simba yenye sita na Saoura ina nne wakati Vita wako mkiani na pointi nne.
Hivyo makala JR SAOURA YASAFISHA NJIA SIMBA KUTINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABIGWA AFRIKA
yaani makala yote JR SAOURA YASAFISHA NJIA SIMBA KUTINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABIGWA AFRIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JR SAOURA YASAFISHA NJIA SIMBA KUTINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABIGWA AFRIKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/jr-saoura-yasafisha-njia-simba-kutinga.html
0 Response to "JR SAOURA YASAFISHA NJIA SIMBA KUTINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABIGWA AFRIKA"
Post a Comment