Loading...

KUAHIRISHWA UCHAGUZI NIGERIA WAZUA MJADALA KOTE NCHINI

Loading...
KUAHIRISHWA UCHAGUZI NIGERIA WAZUA MJADALA KOTE NCHINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUAHIRISHWA UCHAGUZI NIGERIA WAZUA MJADALA KOTE NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUAHIRISHWA UCHAGUZI NIGERIA WAZUA MJADALA KOTE NCHINI
link : KUAHIRISHWA UCHAGUZI NIGERIA WAZUA MJADALA KOTE NCHINI

soma pia


KUAHIRISHWA UCHAGUZI NIGERIA WAZUA MJADALA KOTE NCHINI

Mwanamke huyu alikuwa tayari amefika katika kituo cha kupiga kura.

Hatua ya kuahirishwa kwa uchaguzi wa urais na ubunge nchini Nigeria saa tano kabla ya zoezi la upigaji imezua mjadala mkali kote nchini humo.

Baadhi ya watu ambao hawakua na habari uchaguzi umeahirishwa walikuwa wamefika klatika vituo vyao vya kupigia kura.

Musa Abubakar, ambaye alisafiri umbali wa kilomita 550 (340 miles) kutoka mji mkuu wa Abuja ili kupiga kura katika mji wa kaskazini wa Daura, ameiambia BBC "haamini" kilichotokea.

Yeye ni mmoja wa raia wengi wa Nigeria waliyosafiri kutoka mji mmoja hadi mwingine kushiriki zoezi la upigaji kura.

"Sijui la kufanya. Sijafurahia hatua hii hata kidogo," alisema bw Abubakar.

Sasa anakabiliwa na kibarua cha kuamua ikiwa atasubiri kupiga kura Daura kisha arudi kazini Abuja ama ajiandae kwa safari ya pili au kuachana kabisa na shughuli hiyo

Baadhi ya watu waliamua kuangazia hasira zao katika mtando wa kijamii wa Twitter, kwa kutumia Hashtag ya "waahirishwa", "kuahirishwa" na "Inec".

Bobby Ezidi, alisema tume ya uchaguzi imezembea katika kazi yake .Wengine wamekuwa wakisambaza kanda ya video inayomuonesha bw Yakubu akisisitiza kuwa kila kitu kiko shwari "uchaguzi hautaahirishwai" na kujiuliza nini kilichobadilika.

Tume huru ya kitaifa ya uchaguzi (INEC) ilitangaza hatua hiyo saa tano tu kabla ya wapiga kura kuelekea katika vituo vya upigaji kura hii leo Jumamosi.

"Haiwezekani kuendelea na zoezi la uchaguzi kama ilivyopangwa," mwenyekiti wa tume hiyo Mahmood Yakubu amesema, akitaja hitilafu za kimipango.

Amesema uamuzi huo mgumu umehitajika kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa huru na haki.



Hivyo makala KUAHIRISHWA UCHAGUZI NIGERIA WAZUA MJADALA KOTE NCHINI

yaani makala yote KUAHIRISHWA UCHAGUZI NIGERIA WAZUA MJADALA KOTE NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUAHIRISHWA UCHAGUZI NIGERIA WAZUA MJADALA KOTE NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/kuahirishwa-uchaguzi-nigeria-wazua.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KUAHIRISHWA UCHAGUZI NIGERIA WAZUA MJADALA KOTE NCHINI"

Post a Comment

Loading...