Loading...

LORI LAPIGA MWELEKA

Loading...
LORI LAPIGA MWELEKA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa LORI LAPIGA MWELEKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : LORI LAPIGA MWELEKA
link : LORI LAPIGA MWELEKA

soma pia


LORI LAPIGA MWELEKA



Lori lililokuwa likitoka jijini Dar es Salaam kuelekea mkoa wa Pwani limepiga mweleka na kuingia mtaroni katika barabara ya Morogoro eneo la Kibamba wilaya ya Ubungo jijini Dar as Salaam leo, chanzo cha ajali hiyo inadaiwa gari ilishindwa kupanda katika mlima wenye mwinuko mkali (picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii).
Baadhai ya wakazi wa eneo hilo wakipita pembeni ya lori hilo lililo piga mweleka na kuingia mtaroni barabara ya Morogoro eneo la Kibamba wilaya ya Ubungo jijini Dar as Salaam leo, chanzo cha ajali hiyo gari  inaelezwa gari ilishindwa kupanda mlima wenye mwinuko mkali.



Hivyo makala LORI LAPIGA MWELEKA

yaani makala yote LORI LAPIGA MWELEKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala LORI LAPIGA MWELEKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/lori-lapiga-mweleka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "LORI LAPIGA MWELEKA"

Post a Comment

Loading...