Loading...

Mafunzo ya Utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafsi yafanyika Zanzibar

Loading...
Mafunzo ya Utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafsi yafanyika Zanzibar - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mafunzo ya Utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafsi yafanyika Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mafunzo ya Utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafsi yafanyika Zanzibar
link : Mafunzo ya Utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafsi yafanyika Zanzibar

soma pia


Mafunzo ya Utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafsi yafanyika Zanzibar





Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mafunzo ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi ya Mwaka 2019/2020 yaliofanyika Chuo cha Karume Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
 Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mayasa Mahfudha Mwinyi akitoa hotuba ya kumkaribisha Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Mafunzo ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi ya Mwaka 2019/2020 yaliofanyika Chuo cha Karume Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
 Baadhi ya Washiriki (WADADISI)wa mafunzo ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi ya Mwaka 2019/2020 wakimsikiliza mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Mafunzo hayo yaliofanyika Chuo cha Karume Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala Mafunzo ya Utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafsi yafanyika Zanzibar

yaani makala yote Mafunzo ya Utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafsi yafanyika Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mafunzo ya Utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafsi yafanyika Zanzibar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/mafunzo-ya-utafiti-wa-mapato-na_6.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mafunzo ya Utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafsi yafanyika Zanzibar"

Post a Comment

Loading...