Loading...

MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO

Loading...
MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO
link : MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO

soma pia


MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO

Mwambawahabari
 Image result for picha ya MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye moja ya madarasa katika Shule ya Msingi ya Kassim Majaliwa iliyopo kwenye  Kambi ya Wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo, Februari 18, 2019.  Wapili kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Image result for picha ya MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua madaftari ya wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kassim Majaliwa wakati alipotembelea baadhi ya madarasa ya  Shule hiyo, Februari 18, 2019. Wapili kushoto ni mkewe Mary. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Image result for picha ya MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO 
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa  akiteta na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa, Joyce Ndalichako wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipotembelea Kambi ya Wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo, Februari 18, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Image result for picha ya MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watoto wa Shule ya Msingi ya Kassim Majaliwa  wakati alipokagua madarasa ya Shule hiyo katika Kambi ya Wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo, Februari 18, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Hivyo makala MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO

yaani makala yote MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/majaliwa-atembelea-kambi-ya-wakimbizi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO"

Post a Comment

Loading...