Loading...

MAJALIWA AWAFUNDA VIONGOZI WA WILAYA YA BIHARAMULO

Loading...
MAJALIWA AWAFUNDA VIONGOZI WA WILAYA YA BIHARAMULO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA AWAFUNDA VIONGOZI WA WILAYA YA BIHARAMULO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA AWAFUNDA VIONGOZI WA WILAYA YA BIHARAMULO
link : MAJALIWA AWAFUNDA VIONGOZI WA WILAYA YA BIHARAMULO

soma pia


MAJALIWA AWAFUNDA VIONGOZI WA WILAYA YA BIHARAMULO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa wilaya ya Biharamulo, Sada Malunde (wa pili kulia), Mkurugenzi  wa Halmashauri hiyo, Wende Ng’ahara (wa tatu kulia) na Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Agnes Rwakayonza (kushoto) katika kikao cha ndani cha kuwafunda viongozi hao kilichofanyika  kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Februari 21, 2019.   Akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nyakanazi wilayani Biharamulo, Februari 20, 2019, Mheshimiwa Majaliwa aliwaonya viongozi hao kumaliza tofauti zao ili kuwahudumia wananchi ipasavyo.  Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Berigedia Jenearli, Marco Gaguti (wa pili kulia) na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Profesa Faustine Kamuzora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala MAJALIWA AWAFUNDA VIONGOZI WA WILAYA YA BIHARAMULO

yaani makala yote MAJALIWA AWAFUNDA VIONGOZI WA WILAYA YA BIHARAMULO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AWAFUNDA VIONGOZI WA WILAYA YA BIHARAMULO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/majaliwa-awafunda-viongozi-wa-wilaya-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAJALIWA AWAFUNDA VIONGOZI WA WILAYA YA BIHARAMULO"

Post a Comment

Loading...