Loading...
title : Mfanyabiashara ndogondogo ashinda bahati nasibu ya biko milioni tano
link : Mfanyabiashara ndogondogo ashinda bahati nasibu ya biko milioni tano
Mfanyabiashara ndogondogo ashinda bahati nasibu ya biko milioni tano
Mfanyabiashara ndogondogo wa Makanyagio, wilayani Mpanda, Gilau Bruno amekabidhiwa zawadi yake ya sh milioni 5 alizoshinda kutoka kwenye bahati nasibu ya Biko droo ya 183 iliyochezeshwa jumatano iliyopita kwa mkazi huyo kupokea fedha zake tayari kuziingiza kwenye matumizi yake ya kawaida ya kimaisha. Mamilioni mengine ya Biko yanaendelea kutoka kila Jumatano na Jumapili bila kusahau zawadi za papo kwa hapo zinazotoka kila dakika moja. Picha na mpigapicha wetu.
Hivyo makala Mfanyabiashara ndogondogo ashinda bahati nasibu ya biko milioni tano
yaani makala yote Mfanyabiashara ndogondogo ashinda bahati nasibu ya biko milioni tano Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mfanyabiashara ndogondogo ashinda bahati nasibu ya biko milioni tano mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/mfanyabiashara-ndogondogo-ashinda.html
0 Response to "Mfanyabiashara ndogondogo ashinda bahati nasibu ya biko milioni tano"
Post a Comment