Loading...
title : PBZ yatiliana Saini na TTCL
link : PBZ yatiliana Saini na TTCL
PBZ yatiliana Saini na TTCL
Naibu Mkurugenzi mtendaji wa benk ya watu wa Zanzibar (PBZ) Khadija Shamte Mzee akitiliana saini na mwakilishi wa shirila la simu Tanzania TTCL Alphones Mozes mashirikiano katika uendeshwaji wa huduma za kifedha kupitia simu ya mkononi,makubaliano hayo yametiwa saini leo katika ukumbi wa makao makuu ya benk hio ilipo Mpirani mjini Unguja.
Hivyo makala PBZ yatiliana Saini na TTCL
yaani makala yote PBZ yatiliana Saini na TTCL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PBZ yatiliana Saini na TTCL mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/pbz-yatiliana-saini-na-ttcl.html
0 Response to "PBZ yatiliana Saini na TTCL"
Post a Comment