Loading...
title : RAIS MAGUFULI ATOA MILIONI 200 KWAJILI YA UNUNUZI WA VIFAA VYA KISASA KITUO CHA CHANEL 10 NA AFRICAN MEDIA GROUP
link : RAIS MAGUFULI ATOA MILIONI 200 KWAJILI YA UNUNUZI WA VIFAA VYA KISASA KITUO CHA CHANEL 10 NA AFRICAN MEDIA GROUP
RAIS MAGUFULI ATOA MILIONI 200 KWAJILI YA UNUNUZI WA VIFAA VYA KISASA KITUO CHA CHANEL 10 NA AFRICAN MEDIA GROUP
Rais Dkt Magufuli.
Na. Vero Ignatus
Katika kushehereke miaka 42 ya kuzaliwa chama cha mapinduzi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametembelea kituo cha Luninga cha Chanel ten sambamba African group na kuzungumza na wafanyakazi na kusikiliza changamoto zao
Katika ziara hiyo Rais ameahidi shilingi milioni 200 kwaajili ya kununua vifaa vipya kwaajili ya kurushia matangazo ambapo amesema kupitia chombo hicho Watanzania watanufaika kwa kupata taarifa na watajifunza mambo mengi ,
Rais Magufuli amezungumzia pia kuhusu Uhuru wa vyombo vya habari ambapo amesema kuwa kila mtanzania anayohaki ya kuzungumza, kupata habari na kuelewa mambo yanayoendelea katika nchi yake
Ametoa angalizo kwa wanahabari kuwa wazingatie Maadili pale wanapotoa habari katika vyombo vyao na wahakikishe kuwa habari hizo zinaukweli ndani yake.'' Wanahabari mnatakiwa mzingatie maadili wakati mnatoa habari zenu, unaweza kutoa habari amabayo haina uhakika ukahatibu maisha ya mtu kabisa, kisha baadae unakuja kugundua siyo jambo la ukweli italeta picha mbaya kayika jamii''Amesisitiza Rais Magufuli
Rais amesisitiza kuwa Vyombo vya habari vinatakiwa vizungumze kwani vinaibua mambo mengi ambayo ni msaada kwa viongozi na watanzania kwa ujumla hivyo mnahitaji vinahitajika umakini mkubwa.
Amewataka wanahabari kufanya kazi huku wakitanguliza Uzalendo wa Taifa la Tanzania mbele kwani watakapo kwenda kinyume wataharibu Amani iliyopo na mataifa jirani wataitazama nchi kwa mtazamo mwingine
'' Hakuna mtu mwingine atakayetoka nje ya nchi kuja kutusaidia kujenga nchi ni sisi wenyewe tutangulize maslahi ya Taifa zungumzeni mambo mema kwaajili ya nchi yenu'' Alisema Rais. Amesema katika nchi ya Tanzania vyombo vya habari vilivyopo vinatakiwa kuizungumzia nchi vyema hivyo wanahabari wote
Wanao wajibu wa kuzungumza mambo chanya bila kupindisha ukweli wala kumuonea mtu yeyote.
Pia amewataka Watanzania kila mmojawapo anapoingia ofisini kwake afanye kazi kwa ajili yake na kwa maslahi ya Taifa lake akitanguliza uzalendo ,'' Miaka ijayo tunataka kuwa na mabilionea, wanyabiashara wakubwa, wakulima na wafugaji katika nchi yetu wanaofanya kazi na kulipa kodi ya serikali watakaotambuliwa kimataifa kwamba wanatoka Tanzania'' Amesema Magufuli.
Kituo cha Luninga cha Chanel ten na African Media group, vya Jijini Dar es salaam, vyote hivyo vinamilikiwa na Chama cha Mapinduzi(CCM) nchini

Hivyo makala RAIS MAGUFULI ATOA MILIONI 200 KWAJILI YA UNUNUZI WA VIFAA VYA KISASA KITUO CHA CHANEL 10 NA AFRICAN MEDIA GROUP
yaani makala yote RAIS MAGUFULI ATOA MILIONI 200 KWAJILI YA UNUNUZI WA VIFAA VYA KISASA KITUO CHA CHANEL 10 NA AFRICAN MEDIA GROUP Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI ATOA MILIONI 200 KWAJILI YA UNUNUZI WA VIFAA VYA KISASA KITUO CHA CHANEL 10 NA AFRICAN MEDIA GROUP mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/rais-magufuli-atoa-milioni-200-kwajili.html
0 Response to "RAIS MAGUFULI ATOA MILIONI 200 KWAJILI YA UNUNUZI WA VIFAA VYA KISASA KITUO CHA CHANEL 10 NA AFRICAN MEDIA GROUP"
Post a Comment