Loading...

RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA KASKAZINI A UNGUJA

Loading...
RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA KASKAZINI A UNGUJA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA KASKAZINI A UNGUJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA KASKAZINI A UNGUJA
link : RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA KASKAZINI A UNGUJA

soma pia


RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA KASKAZINI A UNGUJA

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Wizara ya Elimu alipowasi katika viwanja vya Skuli ya Kijini Matemwe Wilaya ya Kaskazini 'A'Unguja akiendelea na ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Program Meneja wa Africa Foundation ya Hoteli ya Mnemba Ndg. Mkomeni Erinest Mgono, Taasisi hiyo imejenga majengo ya madara manne kwa ajili ya Skuli ya Sekondari ya Kijini.alipowasili katika viwanja vya majengo ya Skuli hiyo kuweka jiwe la Msingi akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiri kuweka jiwe la Msingi la Skuli ya Sekondari ya Kijini Matemwe Wilaya ya Kazkiazini 'A' Unguja akiwa katika ziara yake kutewmbelea Miradi ya Maendeleo ya Mkoa wa Kaskazini Unguja leo, 17-2-2019.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kufungua Madaraza ya Skuli ya Sekondari ya Kijini Matemwe, wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja Wilaya ka Skazini 'A' akishuhudua Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kuonesha Ilani ya CCM, wakati ufunguzi wa Madarasa ya Skuli ya Kijini Matemwe Wilaya ya Kaskazini 'A' Unguja akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.17-2-2019.(Picha na Ikulu)

 WANANCHI wa Kijiji cha Kijini na Mbuyu Tende Malemwe wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wakati wa ufunguzi wa Majengo ya Madarasa ya Skuli ya Sekondari ya Kijini Matemwe leo 17-2-2019.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Kijiji cha Kijini na Mbuyu Tende Matemwe wakati wa hafla ya ufunguzi wa Madarasa Mnne ya Skuli ya Seondari ya Kijini yaliojengwa kupitia Kampuni ya And Beyond ya Mnemba  Island Lodge Matembe Zanzibar.(Picha na Ikulu)   


Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA KASKAZINI A UNGUJA

yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA KASKAZINI A UNGUJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA KASKAZINI A UNGUJA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/rais-wa-zanzibar-dktshein-aendelea-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA KASKAZINI A UNGUJA"

Post a Comment

Loading...