Loading...

RC NDIKILO AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA IKWIRIRI

Loading...
RC NDIKILO AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA IKWIRIRI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC NDIKILO AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA IKWIRIRI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC NDIKILO AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA IKWIRIRI
link : RC NDIKILO AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA IKWIRIRI

soma pia


RC NDIKILO AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA IKWIRIRI

NA MWAMVUA MWINYI, RUFIJI 

MKUU wa mkoa wa Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo ameweka jiwe la msingi katika kituo cha afya Ikwiriri, Rufiji, ambacho kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Charles Kabeho alikataa kuweka jiwe hilo July 2018,kutokana na mkanganyiko wa taarifa baina ya wilaya na mkoa .

Akizungumza baada ya kuweka jiwe hilo la msingi, Ndikilo alisema walichukua hatua ya kufanya uchunguzi kupitia vyombo vya dola na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) na kubaini hakuna wizi uliofanyika kwenye ujenzi huo. 

"Kama kuna miundombinu kwa baadhi ya majengo haijakamilika iangaliwe namna ya kuikamilisha ,katika vituo vyote vya afya vinavyojengwa mkoani hapa "alisema Ndikilo .Aidha, alieleza wamepokea bilioni 8.2 kwa ujenzi wa vituo vya afya na bilioni 4.5 kwa ajili ya hospital tatu za wilaya. 

Ndikilo, aliwaomba watumishi wa afya kutoa huduma bora ya afya kwa wananchi wanaofuata matibabu mbalimbali. 

Kwa upande wake mbunge wa jimbo la Rufiji, Mohammed Mchengelwa aliishukuru serikali, kwa kuimarisha sekta hiyo na imeshatoa zaidi ya sh. milioni 320 kuboresha sekta ya afya wilayani Rufiji. 

Awali, mkuu wa wilaya ya Rufiji, Juma Njwayo alibainisha, wamejiridhisha kiwilaya hivyo kumuomba mkuu wa mkoa kufanya zoezi hilo. 

Njwayo, alimpongeza Kabeho kwa ufuatiliaji aliouonyesha wakati wa mbio za mwenge hali iliyosababisha kila halmashauri kuwa makini katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
 




Hivyo makala RC NDIKILO AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA IKWIRIRI

yaani makala yote RC NDIKILO AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA IKWIRIRI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC NDIKILO AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA IKWIRIRI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/rc-ndikilo-aweka-jiwe-la-msingi-kituo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RC NDIKILO AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA IKWIRIRI"

Post a Comment

Loading...