Loading...

SERIKALI YATOA MAJENEZA KUHIFADHI MIILI YA WATU I9

Loading...
SERIKALI YATOA MAJENEZA KUHIFADHI MIILI YA WATU I9 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YATOA MAJENEZA KUHIFADHI MIILI YA WATU I9, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YATOA MAJENEZA KUHIFADHI MIILI YA WATU I9
link : SERIKALI YATOA MAJENEZA KUHIFADHI MIILI YA WATU I9

soma pia


SERIKALI YATOA MAJENEZA KUHIFADHI MIILI YA WATU I9


Serikali mkoa wa Songwe imetoa majeneza 19 kwa ajili ya kuhifadhia miili ya watu 19 waliofariki kwa ajali usiku wa kuamkia leo Ijumaa Februari 22, 2019 katika Mlima Senjele wilayani Mbozi mkoani Songwe.
Akizungumza leo, mkuu wa wilaya ya Mbozi, John Palingo amewaambia waombolezaji waliofika katika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Serikali ya mkoa wa Songwe (Vwawa) kuwa kazi ya kutambua miili hiyo inasimamishwa kwa muda ili kupisha wataalamu waiweke vizuri miili hiyo iliyoharibika vibaya.


“Serikali ya mkoa imetoa majeneza hayo ili kuweza kuistiri vizuri miili kisha baada ya hapo kazi ya kuitambua itaendelea kama kawaida,” amesema Palingo.


Hivyo makala SERIKALI YATOA MAJENEZA KUHIFADHI MIILI YA WATU I9

yaani makala yote SERIKALI YATOA MAJENEZA KUHIFADHI MIILI YA WATU I9 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YATOA MAJENEZA KUHIFADHI MIILI YA WATU I9 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/serikali-yatoa-majeneza-kuhifadhi-miili.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SERIKALI YATOA MAJENEZA KUHIFADHI MIILI YA WATU I9"

Post a Comment

Loading...