Loading...

TANESCO,ABB WAENDELEA KUFUNGA TRANSFOMA YA MEGAWATI 240 KITUO KIKUU CHA UBUNGO

Loading...
TANESCO,ABB WAENDELEA KUFUNGA TRANSFOMA YA MEGAWATI 240 KITUO KIKUU CHA UBUNGO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANESCO,ABB WAENDELEA KUFUNGA TRANSFOMA YA MEGAWATI 240 KITUO KIKUU CHA UBUNGO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANESCO,ABB WAENDELEA KUFUNGA TRANSFOMA YA MEGAWATI 240 KITUO KIKUU CHA UBUNGO
link : TANESCO,ABB WAENDELEA KUFUNGA TRANSFOMA YA MEGAWATI 240 KITUO KIKUU CHA UBUNGO

soma pia


TANESCO,ABB WAENDELEA KUFUNGA TRANSFOMA YA MEGAWATI 240 KITUO KIKUU CHA UBUNGO

Na Ripota Wetu,Globu ya jamii

TIMU ya wataalamu wa Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) kwa kushirikiana na Mkandarasi ABB wa nchini Switzerland, wameendelea na kazi ya kufunga transfoma yenye uwezo wa Megawati 240 katika Kituo Kikuu cha Kupoza na Kusambaza umeme cha Ubungo jijini Dar es Salaam.
 
Kwa mujibu wa taarifa ya TANESCO iliyoitoa leo imesema transfoma hiyo iliingia hapa nchini Januari 28, 2019 na lengo ni kuendelea kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme wa uhakika na kuleta ufanisi katika usambazaji wa umeme katika jiji la Dar es Salaam na Pwani.

Akielezea uwezo wa Transfoma hiyo, Mkuu wa Kituo cha Kupoza na Kusambaza umeme Ubungo, Mhandisi Joseph Msumali amesema transfoma hiyo yenye uwezo wa kusukuma takribani Megawati 240 kutoka kwenye msongo wa kilovoti 220 kuelekea Msongo wa kilovoti 132 kwa ajili ya usambazaji na matumizi ya nishati ya umeme katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani.
 Ufungaji wa Transfoma ukiendelea

 


Hivyo makala TANESCO,ABB WAENDELEA KUFUNGA TRANSFOMA YA MEGAWATI 240 KITUO KIKUU CHA UBUNGO

yaani makala yote TANESCO,ABB WAENDELEA KUFUNGA TRANSFOMA YA MEGAWATI 240 KITUO KIKUU CHA UBUNGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANESCO,ABB WAENDELEA KUFUNGA TRANSFOMA YA MEGAWATI 240 KITUO KIKUU CHA UBUNGO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/tanescoabb-waendelea-kufunga-transfoma.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TANESCO,ABB WAENDELEA KUFUNGA TRANSFOMA YA MEGAWATI 240 KITUO KIKUU CHA UBUNGO"

Post a Comment

Loading...