Loading...

Tanzania Yaingia Makubaliano Kuendeleza Kiswahili Sudan Kusini

Loading...
Tanzania Yaingia Makubaliano Kuendeleza Kiswahili Sudan Kusini - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tanzania Yaingia Makubaliano Kuendeleza Kiswahili Sudan Kusini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tanzania Yaingia Makubaliano Kuendeleza Kiswahili Sudan Kusini
link : Tanzania Yaingia Makubaliano Kuendeleza Kiswahili Sudan Kusini

soma pia


Tanzania Yaingia Makubaliano Kuendeleza Kiswahili Sudan Kusini

Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako(kulia) na Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Serikali ya Jamhuri ya Sudan Kusini, Mhe. Deng Deng Hoc Yai wakiweka saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika Sekta ya Elimu hususan katika lugha ya Kiswahili jana jijini Dodoma. 
Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako(kulia) akifurahia wakati Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Serikali ya Jamhuri ya Sudani Kusini, Mhe. Deng Deng Hoc Yai akionyesha hati ya mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika Sekta ya Elimu baina ya Tanzania na Sudan Kusini mara baada ya kuweka saini jana jijini Dodoma. (Picha na: Frank Shija – MAELEZO, Dodoma)
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Elimu jana kwa ajili ya kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika Sekta ya Elimu hususan katika Lugha ya Kiswahili na Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Serikali ya Jamhuri ya Sudani Kusini, Mhe. Deng Deng Hoc Yai (kulia) jana jijini Dodoma. Kushoto ni Balozi wa Sudan Kusini nchini Tanzania, Mhe.Mariano Deng Ngor. 
Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akizungumza wakati wa hafla ya kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika Sekta ya Elimu hususan katika lugha ya Kiswahili na Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Serikali ya Jamhuri ya Sudani Kusini, Mhe. Deng Deng Hoc Yai (kushoto) jana jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ave Maria Semakafu. 
Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akisisitiza jambo wakati wa hafla ya kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika Sekta ya Elimu hususan katika lugha ya Kiswahili na Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Serikali ya Jamhuri ya Sudani Kusini, Mhe. Deng Deng Hoc Yai (kushoto) jana jijini Dodoma. 
Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Serikali ya Jamhuri ya Sudan Kusini, Mhe. Deng Deng Hoc Yai wakati wa hafla ya kutiliana saini mkataba wa makubalina ya ushirikiano katika sekta ya elimu baina ya Tanzania na Sudan Kusini jana jijini Dodoma. Kushoto kwake ni Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako 
Balozi wa Sudan Kusini nchini Tanzania, Mhe.Mariano Deng Ngor akitoa neno la shukrani wakati wa hafla ya kutiliana saini mkataba wa makubalina ya ushirikiano katika sekta ya elimu baina ya Tanzania na Sudan Kusini jana jijini Dodoma. Kulia ni Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako na Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Serikali ya Jamhuri ya Sudan Kusini, Mhe. Deng Deng Hoc Yai(katikati). 


Hivyo makala Tanzania Yaingia Makubaliano Kuendeleza Kiswahili Sudan Kusini

yaani makala yote Tanzania Yaingia Makubaliano Kuendeleza Kiswahili Sudan Kusini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tanzania Yaingia Makubaliano Kuendeleza Kiswahili Sudan Kusini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/tanzania-yaingia-makubaliano-kuendeleza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Tanzania Yaingia Makubaliano Kuendeleza Kiswahili Sudan Kusini"

Post a Comment

Loading...