Loading...
title : TMA YAENDESHA WARSHA KWA WAANDISHI WA HABARI.
link : TMA YAENDESHA WARSHA KWA WAANDISHI WA HABARI.
TMA YAENDESHA WARSHA KWA WAANDISHI WA HABARI.
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeendesha warsha kwa waandishi wa habari kwa lengo la kuwajengea uwezo katika kufanya kazi zao kwa ufanisi.
Warsha hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam ambapo waandishi kamepata fursa kujua mengi yanayoendelea katika TMA.
Meneja wa kituo Kikuu cha utabiri TMA Bw. Samwel Mbuya na Dk. Ladslaus Chang’a kulia wakifuatilia uwasilishaji wa mada kutoka kwa Bw. Elias Mpiki kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa wakati akifanya uwasilishaji wa mada kwa waandishi wa habari.
Waandishi wa habari pamoja na wafanyakazi wa TMA wakiwa katika picha ya pamoja.
Hivyo makala TMA YAENDESHA WARSHA KWA WAANDISHI WA HABARI.
yaani makala yote TMA YAENDESHA WARSHA KWA WAANDISHI WA HABARI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TMA YAENDESHA WARSHA KWA WAANDISHI WA HABARI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/tma-yaendesha-warsha-kwa-waandishi-wa.html
0 Response to "TMA YAENDESHA WARSHA KWA WAANDISHI WA HABARI."
Post a Comment