Loading...

UPELELEZI KESI YA AMBER RUTTY NA MUMEWE WAKAMILIKA, KUUNGURUMA MARCH 07

Loading...
UPELELEZI KESI YA AMBER RUTTY NA MUMEWE WAKAMILIKA, KUUNGURUMA MARCH 07 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UPELELEZI KESI YA AMBER RUTTY NA MUMEWE WAKAMILIKA, KUUNGURUMA MARCH 07, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UPELELEZI KESI YA AMBER RUTTY NA MUMEWE WAKAMILIKA, KUUNGURUMA MARCH 07
link : UPELELEZI KESI YA AMBER RUTTY NA MUMEWE WAKAMILIKA, KUUNGURUMA MARCH 07

soma pia


UPELELEZI KESI YA AMBER RUTTY NA MUMEWE WAKAMILIKA, KUUNGURUMA MARCH 07

 Upelelezi katika kesi ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile inayomkabili msanii Rutyfiya Aboubakary maarufu Kama Amber Rutty na mume wake Said Mtopali umekamilika na sasa kesi hiyo itaanza kuunguruma Machi 7 kwa washtakiwa hao kusomewa maelezo ya awali.

Wakili wa Serikali, Faraji Nguka ameeleza hayo leo Februari 11.2019 mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Augustine Rwizile wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Wakili Nguka amedai, kesi hiyo leo imekuja kwa kutajwa lakini upelelezi umekamilika, hivyo wanaomba tarehe kwa ajili ya kuwasomea washtakiwa maelezo ya awali. Kufuatia taarifa hiyo,  Hakimu Rwizile ameahirisha kesi hiyo hadi March 7, 2019. Amber Rutty na mumewe walifikishwa mahakamani hapo November 2, 2018 wakikabiliwa na kosa la kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Mbali na wawili hao, mshtakiwa mwingine ni James Charles maarufu kama ‘James Delicious’.

Katika kesi hiyo kosa la kufanya mapenzi kinyume na maumbile linamkabili Amber Ruth, ambapo anadaiwa amelitenda kati ama baada ya October 25, 2018 ambapo alimruhusu Said Bakary kumuingilia kinyume na maumbile, kosa ambalo amelikana.

Pia kosa jingine la kufanya mapenzi kinyume na maumbile, linamkabili mshtakiwa wa pili Said Bakary ambapo anadaiwa kati ama baada ya October 25,2018 jijini Dar es Salaam alifanya mapenzi na Amber Rutty kinyume na maumbile ambapo alisema si kweli.

Kosa la tatu la kuchapisha video ama picha za ngono, ambapo linamkabili James Charles ama James Delicious akidaiwa kati ya October 25,2018 alisambaza video za ngono kupitia magroup ya Whatsapp.

Kosa jingine la nne ni kusababisha kusambaa picha za ngono linamkabili Amber Ruth na Said Aboubakary ambapo wanadaiwa kati October 25,2018 walisababisha kusambaza picha za ngono kupitia makundi ya Whatsapp. Kosa ambalo wamesema si kweli.


Hivyo makala UPELELEZI KESI YA AMBER RUTTY NA MUMEWE WAKAMILIKA, KUUNGURUMA MARCH 07

yaani makala yote UPELELEZI KESI YA AMBER RUTTY NA MUMEWE WAKAMILIKA, KUUNGURUMA MARCH 07 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UPELELEZI KESI YA AMBER RUTTY NA MUMEWE WAKAMILIKA, KUUNGURUMA MARCH 07 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/upelelezi-kesi-ya-amber-rutty-na-mumewe.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UPELELEZI KESI YA AMBER RUTTY NA MUMEWE WAKAMILIKA, KUUNGURUMA MARCH 07"

Post a Comment

Loading...