Loading...

Usajili na Utambuzi wa Wanchi ni Bure

Loading...
Usajili na Utambuzi wa Wanchi ni Bure - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Usajili na Utambuzi wa Wanchi ni Bure, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Usajili na Utambuzi wa Wanchi ni Bure
link : Usajili na Utambuzi wa Wanchi ni Bure

soma pia


Usajili na Utambuzi wa Wanchi ni Bure



Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kuwakumbusha wananchi wote kuwa Huduma ya Usajili na Utambuzi wa Watu kwa ajili ya kupatiwa Kitam- bulisho cha Taifa inatolewa BURE. Mwananchi anatakiwa kufika katika ofisi za NIDA akiwa na nakala (Photocopies) za viambatisho vyake muhimu.

Waombaji wote wa Vitambulisho vya Taifa mnakumbushwa kuwa “Rushwa ni Adui wa Haki. Usikubali kudai, kutoa wala kupokea Rushwa.” Kitambulisho cha Taifa ni haki yako ya msingi na hakiuzwi.

Hakikisha unahudumiwa katika Ofisi au Vituo rasmi vya Usajili vya NIDA na Afisa wa NIDA na sio Vishoka wanaojipenyeza kwenye zoezi.

Ukiombwa Rushwa Toa Taarifa kwa Mawasiliano :-

Simu: 0800758888 au 0673 333 444 au 0759102010 au 0765201020, Barua: S.L.P 12324 Dar es Salaam, Barua pepe (email): nida.tanzania@nida.go.tz. Tembelea tovuti yetu: www.nida.go.tz, Facebook nidatanzania, twitter @nidaTanzania au twitter.com/nidatanzania

Imetolewa na:- Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).



Hivyo makala Usajili na Utambuzi wa Wanchi ni Bure

yaani makala yote Usajili na Utambuzi wa Wanchi ni Bure Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Usajili na Utambuzi wa Wanchi ni Bure mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/usajili-na-utambuzi-wa-wanchi-ni-bure.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Usajili na Utambuzi wa Wanchi ni Bure"

Post a Comment

Loading...