Loading...

USHINDI LAZIMA-NAMUNGO

Loading...
USHINDI LAZIMA-NAMUNGO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa USHINDI LAZIMA-NAMUNGO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : USHINDI LAZIMA-NAMUNGO
link : USHINDI LAZIMA-NAMUNGO

soma pia


USHINDI LAZIMA-NAMUNGO


JOSEPH MPANGALA, RUANGWA/LINDI

Kocha wa Timu ya namungo FCBakari malima kutoka wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi amejigamba kuondoka na Uchindi dhidi ya Timu ya yanga SC ya Jijini Dar es salaam katika Kombe la Shirikisho la Azam ASFC.

Timu ya Namungo ambayo inaongoza katika msimamo wa ligi daraja la kwanza inatarajia kucheza na Yanga siku ya jumapili wiki hii wakiwa katika mwendelezo wa kusaka tiketi ya kwenda robo fainali.

Bakari malima anasema anaifaham Timu ya yanga Vizuri hivyo anauhakika wa kupata ushindi akiwa katika kiwanja cha nyumbani.

“Mimi Yanga nawafaham Nje ndani sidhani kama watapata mteremko kama wanaotarajia na uhakikia kwa kuwa gem yenyewe tunachezea hapa nyumbani tunauwezo wa kufanya Vizuri”amesema kocha Malima.

Licha ya kujiandaaa vizuri timu hiyo inamajeruhi wanne wa kikosi cha kwanza ambapo kocha tayari ameanza kuandaa vijana wengine ili kuweza kuziba pengo la wachezaji hao. 


‘’tatizo lililopo kwenye timu yangu sasa hivi kunamajeruhi kama wanne wa kikosi cha kwanza na niwachezaji tunaowategemea lakini tayari kuna vijana tunawanadaa kuchukua nafasi”

Hata hivyo Malima amewaomba mashabiki wa mikoa ya kusini kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu ya namungo kama moja ya Timu inayowakilisha Mikoa ya Kusini.

Tayari kikosi cha Timu ya Yanga SC kinachojumuisha wachezaji 20 kimeondoka jijini Dares salaam Ijumaa asubuhi ya kuelekea wilaya ya Ruangwa Mkaoni Lindi tayari kucheza na timu ya Namungo.



Hivyo makala USHINDI LAZIMA-NAMUNGO

yaani makala yote USHINDI LAZIMA-NAMUNGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala USHINDI LAZIMA-NAMUNGO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/ushindi-lazima-namungo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "USHINDI LAZIMA-NAMUNGO"

Post a Comment

Loading...