Loading...
title : Utoaji wa Takwimu za Bei yaonesha kushuka ktuoka asilimia 3.5 hadi asilimia 3.0 mwezi Januari 2019
link : Utoaji wa Takwimu za Bei yaonesha kushuka ktuoka asilimia 3.5 hadi asilimia 3.0 mwezi Januari 2019
Utoaji wa Takwimu za Bei yaonesha kushuka ktuoka asilimia 3.5 hadi asilimia 3.0 mwezi Januari 2019
Mkuu wa Takwimu za Bei katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Khamis Abdulrahman Msham kushoto akitoa maelezo kuhusu Takwimu za Bei ambapo Imeonesha kushuka kutoka asilimia 3.5 kwa mwezi wa Disemba 2018 hadi asilimia 3.0 kwa mwezi wa January 2019 hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini mjini Unguja.
Meneja Uchumi katika Benki ya Tanzania tawi la Zanzibar Moto Ng'winganele Lugobi akitoa ufafanuzi wa baadhi ya maswali yalioulizwa katika hafla ya Utoaji wa Takwimu za Bei ambapo Imeonesha kushuka kutoka asilimia 3.5 kwa mwezi wa Disemba 2018 hadi asilimia 3.0 kwa mwezi wa January 2019 hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Mazizini mjini Unguja.
Mhadhiri na Mkuu wa Idara ya Uchumi chuo kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA)akijibu maswali mbalimbali yalioulizwa katika hafla ya Utoaji wa Takwimu za Bei ambapo Imeonesha kushuka kutoka asilimia 3.5 kwa mwezi wa Disemba 2018 hadi asilimia 3.0 kwa mwezi wa January 2019 hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Mazizini mjini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala Utoaji wa Takwimu za Bei yaonesha kushuka ktuoka asilimia 3.5 hadi asilimia 3.0 mwezi Januari 2019
yaani makala yote Utoaji wa Takwimu za Bei yaonesha kushuka ktuoka asilimia 3.5 hadi asilimia 3.0 mwezi Januari 2019 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Utoaji wa Takwimu za Bei yaonesha kushuka ktuoka asilimia 3.5 hadi asilimia 3.0 mwezi Januari 2019 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/utoaji-wa-takwimu-za-bei-yaonesha.html
0 Response to "Utoaji wa Takwimu za Bei yaonesha kushuka ktuoka asilimia 3.5 hadi asilimia 3.0 mwezi Januari 2019"
Post a Comment