Loading...
title : VODACOM YAZINDUA KITUO CHA KUTOLEA HUDUMA KWA WATEJA WAKE
link : VODACOM YAZINDUA KITUO CHA KUTOLEA HUDUMA KWA WATEJA WAKE
VODACOM YAZINDUA KITUO CHA KUTOLEA HUDUMA KWA WATEJA WAKE
Mkuu wa Wilaya ya Momba, Bw. Juma Ilando akizungumza baada ya uzinduzi wa duka la Vodacom Tanzania mjini Tunduma ikiwa ni jitihada za kampuni hiyo kuwafikia wateja wake. Kulia kwake ni Mkuu wa mauzo wa Vodacom Kanda ya nyanda za juu Kusini, Bw. MacFadyne Minja (mwenye shati nyeusi) pamoja na wafanyakazi wa Vodacom Tunduma.
Wanamuziki wakiburudisha katika uzinduzi wa duka la Vodacom Tanzania mjini Tunduma, ikiwa ni jitihada za kampuni hiyo kuwasogezea wateja wake huduma.
Mkuu wa Wilaya ya Momba, Bw. Juma Ilando akikata keki baada ya kuzindua duka la Vodacom Tanzania wilayani hapo ikiwa ni jitihada za kampuni hiyo kuwafikia wateja wake. Kulia kwake ni Mkuu wa mauzo wa Vodacom Kanda ya nyanda za juu Kusini, Bw. MacFadyne Minja (mwenye shati nyeusi) pamoja na wafanyakazi wa Vodacom Tunduma.
Hivyo makala VODACOM YAZINDUA KITUO CHA KUTOLEA HUDUMA KWA WATEJA WAKE
yaani makala yote VODACOM YAZINDUA KITUO CHA KUTOLEA HUDUMA KWA WATEJA WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VODACOM YAZINDUA KITUO CHA KUTOLEA HUDUMA KWA WATEJA WAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/vodacom-yazindua-kituo-cha-kutolea.html
0 Response to "VODACOM YAZINDUA KITUO CHA KUTOLEA HUDUMA KWA WATEJA WAKE"
Post a Comment