Loading...

Wachimbaji Wadogo Kufikishiwa Nishati ya Umeme katika Maeneo ya Machimbo Yao.

Loading...
Wachimbaji Wadogo Kufikishiwa Nishati ya Umeme katika Maeneo ya Machimbo Yao. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wachimbaji Wadogo Kufikishiwa Nishati ya Umeme katika Maeneo ya Machimbo Yao., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wachimbaji Wadogo Kufikishiwa Nishati ya Umeme katika Maeneo ya Machimbo Yao.
link : Wachimbaji Wadogo Kufikishiwa Nishati ya Umeme katika Maeneo ya Machimbo Yao.

soma pia


Wachimbaji Wadogo Kufikishiwa Nishati ya Umeme katika Maeneo ya Machimbo Yao.

Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani wakati akizungumza katika mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Imwelu kilichopo wilaya ya Chato mkoani Geita.
Wataalamu wa Tanesco ,REA na Mkandarasi wakipokea maagizo kutoka kwa Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani
Sehemu ya wananchi wakifuatilia mkutano huo leo.

WACHIMBAJI wadogo mkoani Geita wanatarajiwa kufikishiwa Umeme katika mashimo yao ili kuwawezesha kufanya shughuli zao za uchimbaji kwa ufanisi mkubwa.

Hayo yalisemwa na Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani wakati akizungumza katika mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Imwelu kilichopo wilaya ya Chato mkoani Geita.

Alisema kuwa Serikali inatambua mchango wa wachimbaji wadogo katika maendeleo ya nchi na kwa sasa umeme utafikishwa katika mashimo ya wachimbaji ili kurahisisha shughuli zao za uchimbaji.

“Ndugu zangu wachimbaji tumeshaanza kuwapa transfoma kwa hiyo kama wewe ni mchimbaji na unataka uchimbaji wao uwe wa kisasa,utajaza fomu itakayowezesha kuendesha mashine zenu za kuchakata madini”Alisema.

Waziri huyo aliwasihi wachimbaji wadogo kutumia fursa ya umeme ili kuleta tija katika uchumbaji wao na hivyo kuweza kuongeza pia ufanisi mkubwa.

Hata hivyo Waziri Kalemani alimtaka Mkandarasi na Tanesco kufikisha umeme katika kijiji hicho ndani ya siku ishirini (20)


Hivyo makala Wachimbaji Wadogo Kufikishiwa Nishati ya Umeme katika Maeneo ya Machimbo Yao.

yaani makala yote Wachimbaji Wadogo Kufikishiwa Nishati ya Umeme katika Maeneo ya Machimbo Yao. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wachimbaji Wadogo Kufikishiwa Nishati ya Umeme katika Maeneo ya Machimbo Yao. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/wachimbaji-wadogo-kufikishiwa-nishati.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wachimbaji Wadogo Kufikishiwa Nishati ya Umeme katika Maeneo ya Machimbo Yao."

Post a Comment

Loading...