Loading...

Waziri Biteko afungua warsha kwa wadau wa madini Jijini Mwanza

Loading...
Waziri Biteko afungua warsha kwa wadau wa madini Jijini Mwanza - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Biteko afungua warsha kwa wadau wa madini Jijini Mwanza, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Biteko afungua warsha kwa wadau wa madini Jijini Mwanza
link : Waziri Biteko afungua warsha kwa wadau wa madini Jijini Mwanza

soma pia


Waziri Biteko afungua warsha kwa wadau wa madini Jijini Mwanza

Waziri wa Madini, Doto Biteko (pichani) amefungua warsha ya siku mbili kuanzia leo Februari 11, 2019 kwa wadau wa madini inayolenga kujadili maudhui ya kanuni mpya za uanzishwaji masoko ya madini kama alivyoagiza Rais Dkt. John Pombe Magufuli hivi karibuni.

Warsha hiyo inayofanyika Jijini Mwanza imeandaliwa na Wizara ya Madini kupitia uratibu wa taasisi ya Uongozi Institute na kuwashirikisha wadau na viongozi mbalimbali kutoka mikoa 12 nchini. 
Waziri wa Madini, Doto Biteko (wa watu kushoto waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimali akiwemo Katibu Mkuu Tume ya Madini, Profesa Simon Msanjila, (wa pili kushoto waliokaa), Kamishna wa Madini, Mhandisi David Mulabwa (wa kwanza kushoto waliokaa) na Wakuu wa Wilaya zilizoshiriki warsha hiyo. 

Wengine waliokaa ni Mkuu wa Wilaya Misungwi, Juma Sweda (wa pili kulia) aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa Mwanza pamoja na Mkuu wa Idara ya Mafunzo kwa Viongozi kutoka taasisi ya UONGOZI Institute, Kadari Singo (wa kwanza kulia) aliyemwakilisha Afisa Mtendaji Mkuu wa taasisi hiyo.
Waziri wa Madini, Doto Biteko akiwa kwenye picha ya pamoja na Wakurugenzi wa Halmashari za Wilaya zilizoshiriki warsha hiyo.
Waziri wa Madini, Doto Biteko akiwa kwenye picha ya pamoja na Makatibu Tawala kutoka wilaya zilizoshiriki warsha hiyo.
Waziri wa Madini, Doto Biteko akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa wizara hiyo.
Waziri wa Madini, Doto Biteko akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa wachimbaji wadogo wa madini.
Waziri wa Madini, Doto Biteko akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa taasisi ya UONGOZI Institute.



Hivyo makala Waziri Biteko afungua warsha kwa wadau wa madini Jijini Mwanza

yaani makala yote Waziri Biteko afungua warsha kwa wadau wa madini Jijini Mwanza Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Biteko afungua warsha kwa wadau wa madini Jijini Mwanza mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/waziri-biteko-afungua-warsha-kwa-wadau.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri Biteko afungua warsha kwa wadau wa madini Jijini Mwanza"

Post a Comment

Loading...