Loading...

WAZIRI MKUU ATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU RUGE

Loading...
WAZIRI MKUU ATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU RUGE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU ATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU RUGE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU ATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU RUGE
link : WAZIRI MKUU ATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU RUGE

soma pia


WAZIRI MKUU ATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU RUGE

Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa  na mkewe Mary (wa pili kulia) wakimfariji mama Mzazi wa marehemu Ruge Mutahaba, Christiana Mutahaba wakati  walipokwenda nyumbani kwao  marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam, kutoa pole kwa familia ,  Februari 27, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na baba mzazi wa marehemu Ruge Mutahaba wakati alipokwanda nyumbani kwao marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam  kutoa pole kwa familia, Februari 27, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe wakati alipokwenda nyumbani kwao marehemu Ruge Mutahaba, Mikocheni jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia , Februari 27, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala WAZIRI MKUU ATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU RUGE

yaani makala yote WAZIRI MKUU ATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU RUGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU ATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU RUGE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/waziri-mkuu-atoa-pole-kwa-familia-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI MKUU ATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU RUGE"

Post a Comment

Loading...