Loading...
title : ZIARA YA MAKAMU WA RAIS IKUNGI MKOANI SINGIDA LEO
link : ZIARA YA MAKAMU WA RAIS IKUNGI MKOANI SINGIDA LEO
ZIARA YA MAKAMU WA RAIS IKUNGI MKOANI SINGIDA LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua maji kama ishara ya uzinduzi wa huduma ya maji katika kijiji cha Uliyampiti, Ikungi ambapo mradi huo utawanufaisha wakazi 2628.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe. Miraji Mtaturu (kushoto), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mkuu wa mkoa wa Singida Mhe. Dkt. Rehema Nchimbi wakifurahia mara baada ya Makamu wa Rais kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha Uliyampiti ambapo mradi huo wa maji utawahudumia wakazi 2628.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisoma kibao cha zahanati ya Kijiji cha Mang’onyi mara baada ya kutembelea mradi wa ujenzi wa zahanati hiyo ikiwa siku ya pili ya ziara yake mkoani Singida. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua maji kama ishara ya uzinduzi wa huduma ya maji katika kijiji cha Uliyampiti, Ikungi ambapo mradi huo utawanufaisha wakazi 2628. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Elias Kwandikwa mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Uliyampti tayari kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha Uliyampiti, Ikungi ambapo mradi huo utawanufaisha wakazi 2628.Makamu wa Rais yupo mkoani Singida kwa ziara ya kikazi ya siku tano ambapo atakagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo

Hivyo makala ZIARA YA MAKAMU WA RAIS IKUNGI MKOANI SINGIDA LEO
yaani makala yote ZIARA YA MAKAMU WA RAIS IKUNGI MKOANI SINGIDA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA MAKAMU WA RAIS IKUNGI MKOANI SINGIDA LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/ziara-ya-makamu-wa-rais-ikungi-mkoani.html
0 Response to "ZIARA YA MAKAMU WA RAIS IKUNGI MKOANI SINGIDA LEO"
Post a Comment