Loading...

AKUTWA AMEFARIKI DUNIA KWENYE KORONGO LA MAJI

Loading...
AKUTWA AMEFARIKI DUNIA KWENYE KORONGO LA MAJI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AKUTWA AMEFARIKI DUNIA KWENYE KORONGO LA MAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AKUTWA AMEFARIKI DUNIA KWENYE KORONGO LA MAJI
link : AKUTWA AMEFARIKI DUNIA KWENYE KORONGO LA MAJI

soma pia


AKUTWA AMEFARIKI DUNIA KWENYE KORONGO LA MAJI

Anaandika Dixon Busagaga.Hai.

MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Diamon Munishi (87) amekutwa amefariki dunia katika Korongo la maji Makando lililopo katika kijiji cha Isawerwa kata ya Romu wilayani Hai.

Kwa mujibu wa mashuhuda wameeleza kuwa marehemu alikua na tatizo la uoni hafifu na kwamba alianguka kwenye korongo wakati mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali ikinyesha.

Mkuu wa Polisi wilaya ya Hai Lwelwe Luhaga Mpina alithibitisha kufariki dunia na kwamba kifo chake ni cha kawaida kutokana na  matatizo aliyokuwa nayo marehemu.

Mkuu wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya alifika eneo la tukio na kutoa pole kwa familia iliyofikwa na msiba wa mzee wa huyo.
 Mwili wa Daimon Munishi ukitolewa kwenye Korongo la maji Makando lililopo katika kijiji cha Isawerwa kata ya Romu wilayani Hai.
 Mkuu wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya (mwenye kofia) alitizama mwili uliokutwa katika Korongo la maji Makando lililopo katika kijiji cha Isawerwa kata ya Romu wilayani Hai.
 Mwili wa Daimon Munishi ukipandishwa kwenye gari la polisi mara baada ya kutolewa kwenye Korongo la maji Makando lililopo katika kijiji cha Isawerwa kata ya Romu wilayani Hai.
 
Mkuu wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya ( mwenye kofia) akitoa pole kwa wananchi waliofika eneo la tukio wakati wa kutoa mwili wa marehemu kwenye Korongo la maji Makando lililopo katika kijiji cha Isawerwa kata ya Romu wilayani Hai.
 Katibu tawala wilaya ya Hai,Upendo Wera akitoa pole kwa wananchi wa eneo hilo



Hivyo makala AKUTWA AMEFARIKI DUNIA KWENYE KORONGO LA MAJI

yaani makala yote AKUTWA AMEFARIKI DUNIA KWENYE KORONGO LA MAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AKUTWA AMEFARIKI DUNIA KWENYE KORONGO LA MAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/akutwa-amefariki-dunia-kwenye-korongo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "AKUTWA AMEFARIKI DUNIA KWENYE KORONGO LA MAJI"

Post a Comment

Loading...