Loading...

BREAKING NEWS: MBOWE, MATIKU WARUDI URAIANI

Loading...
BREAKING NEWS: MBOWE, MATIKU WARUDI URAIANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NEWS: MBOWE, MATIKU WARUDI URAIANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NEWS: MBOWE, MATIKU WARUDI URAIANI
link : BREAKING NEWS: MBOWE, MATIKU WARUDI URAIANI

soma pia


BREAKING NEWS: MBOWE, MATIKU WARUDI URAIANI

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetengua maamuzi ya kufutiwa dhamana yaliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kuamuru warufani hao (Mbowe na Matiko) waachiwe huru mara moja.

Aidha imeondoa baadhi ya masharti ya dhamana ikiwemo kuripoti kila wiki kwa Kamishina wa Polisi Mkoa na badala yake wametakiwa kuripoti kila mwisho wa  mwezi Kisutu.

Pia imewaamuru washitakiwa kutokusafiri nje ya Tanzania bila kibali cha mahakama na kwamba masharti mengine yaliyokuwepo Kisutu yataendelea kubaki kama ilivyo.


Hivyo makala BREAKING NEWS: MBOWE, MATIKU WARUDI URAIANI

yaani makala yote BREAKING NEWS: MBOWE, MATIKU WARUDI URAIANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWS: MBOWE, MATIKU WARUDI URAIANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/breaking-news-mbowe-matiku-warudi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BREAKING NEWS: MBOWE, MATIKU WARUDI URAIANI"

Post a Comment

Loading...