Loading...
title : BREAKING NEWZZZ: Mwalimu aliyempiga mwananfunzi mpaka kumuua ahukumiwa kunyongwa hadi kufa.
link : BREAKING NEWZZZ: Mwalimu aliyempiga mwananfunzi mpaka kumuua ahukumiwa kunyongwa hadi kufa.
BREAKING NEWZZZ: Mwalimu aliyempiga mwananfunzi mpaka kumuua ahukumiwa kunyongwa hadi kufa.
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Bukoba imemhukumu Mwl. Respicius Mutazangira Kunyongwa hadi kufa baada ya Kupatikana na hatia ya Kumpiga mpaka kusababisha kifo cha mwanafunzi Sperius Eradius, wa darasa la tano, Shule ya Msingi Kibeta.
Aidha mahakama hiyo, imemuachia huru Mwalimu Elieth Gerald baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake.
Washtakiwa hao wote walikuwa wanakabiliwa na kesi ya mauaji ya kukusudia Namba 56 ya 2018.
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Bukoba imemhukumu Mwl. Respicius Mutazangira Adhabu (pichani kwenye kizimba) ya Kunyongwa hadi kufa baada ya Kumkuta na hatia ya Kumpiga na Kumuua mwanafunzi Sperius Eradius Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Kibeta, Huku Mwl. Elieth Akiachiwa huru baada ya kukutwa hana hatia dhidi ya kesi yao Namba 56 ya 2018
Mwl. Elieth akitafakari jambo kabla ya kuachiwa huru baada ya kukutwa hana hatia dhidi ya kesi yao Namba 56 ya 2018.
Wakili mkuu wa Serikali Hashimu Ngole akifafanua jambo mbele ya wanahabari mara baada ya Mahakama kuu kanda ya Bukoba kutoka hukumu kwa Mwl. Respicius Mutazangira Kunyongwa hadi kufa baada ya Kupatikana na hatia ya Kumpiga mpaka kusababisha kifo cha mwanafunzi Sperius Eradius, wa darasa la tano, Shule ya Msingi Kibeta.
Hivyo makala BREAKING NEWZZZ: Mwalimu aliyempiga mwananfunzi mpaka kumuua ahukumiwa kunyongwa hadi kufa.
yaani makala yote BREAKING NEWZZZ: Mwalimu aliyempiga mwananfunzi mpaka kumuua ahukumiwa kunyongwa hadi kufa. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWZZZ: Mwalimu aliyempiga mwananfunzi mpaka kumuua ahukumiwa kunyongwa hadi kufa. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/breaking-newzzz-mwalimu-aliyempiga.html
0 Response to "BREAKING NEWZZZ: Mwalimu aliyempiga mwananfunzi mpaka kumuua ahukumiwa kunyongwa hadi kufa."
Post a Comment