Loading...

BREAKING NEWZZZZ: Askari Magereza Wanne Wasimamishwa kazi kwa Kuingiza Gereza la Ruanda mkoani Mbeya

Loading...
BREAKING NEWZZZZ: Askari Magereza Wanne Wasimamishwa kazi kwa Kuingiza Gereza la Ruanda mkoani Mbeya - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NEWZZZZ: Askari Magereza Wanne Wasimamishwa kazi kwa Kuingiza Gereza la Ruanda mkoani Mbeya, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NEWZZZZ: Askari Magereza Wanne Wasimamishwa kazi kwa Kuingiza Gereza la Ruanda mkoani Mbeya
link : BREAKING NEWZZZZ: Askari Magereza Wanne Wasimamishwa kazi kwa Kuingiza Gereza la Ruanda mkoani Mbeya

soma pia


BREAKING NEWZZZZ: Askari Magereza Wanne Wasimamishwa kazi kwa Kuingiza Gereza la Ruanda mkoani Mbeya

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akionyesha kwa Waandishi wa habari baadhi ya simu zilizokamatwa kwa wafungwa katika Gereza La Ruanda jijini Mbeya.
Habari na Picha na Wizara
ya Mambo ya
Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amemuelekeza Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike kuwasimamisha kazi ili kupisha uchunguzi askari magereza wanne wanaotuhumiwa kuingiza simu za mikononi kwa wafungwa na kurahisisha mawasiliano kati ya wafungwa na watu walioko nje
Akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari jijini Mbeya Naibu Waziri Masauni amesema kumekuwepo na tabia ya kuingiza vitu visivyoruhusiwa magerezani ikiwemo simu, madawa ya kulevya huku baadhi ya askari wachache wasio waaminifu wakitumika katika mchezo huo.
“Nimefanya ziara katika Gereza la Ruanda, nimezungumza na wafungwa na kugundua kuwepo kwa simu ambazo mkuu wa gereza alizikamata. Maagizo ya Mheshimiwa Rais Dk. John Magufuli wakati akimuapisha Kamishna Jenerali wa Magereza ni kukomeshwa kwa tabia ya kuingiza simu magerezani ambalo Rias alisema limekuwa jambo la kawaida,sasa haiwezekani maagizo ya kiongozi wa juu kabisa yapuuzwe...Sasa namuelekeza Kamishna wa Magereza kuwasimamisha kazi askari hao wanne na aunde tume kuchunguza kwa kina zaidi tukio hilo” alisema Masauni
Aliwataja askari hao  na vyeo vyao kuwa ni  Longino Mwemezi (Inspekta),  Alexander Mwijano (Stafu Sajenti) Benjamini Malango (Sajenti)  na Ramadhani  Mhagama huku askari wengine wanne wakiendelea kuchunguzwa kutokana na tuhuma hizo.
Jumla ya simu za mkononi tisa zimekamatwa katika Gereza la Ruanda mkoani Mbeya huku zikishikiliwa kwa uchunguzi zaidi wa kubaini watu waliokuwa wanawasiliana na wafungwa hao na aina ipi ya mawasiliano yaliyokuwa yakifanyika


Hivyo makala BREAKING NEWZZZZ: Askari Magereza Wanne Wasimamishwa kazi kwa Kuingiza Gereza la Ruanda mkoani Mbeya

yaani makala yote BREAKING NEWZZZZ: Askari Magereza Wanne Wasimamishwa kazi kwa Kuingiza Gereza la Ruanda mkoani Mbeya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWZZZZ: Askari Magereza Wanne Wasimamishwa kazi kwa Kuingiza Gereza la Ruanda mkoani Mbeya mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/breaking-newzzzz-askari-magereza-wanne.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BREAKING NEWZZZZ: Askari Magereza Wanne Wasimamishwa kazi kwa Kuingiza Gereza la Ruanda mkoani Mbeya"

Post a Comment

Loading...