Loading...

COCA COLA KWANZA BOTTLERS YAKABIDHI ZAWADI ZA PROMOSHENI YA ‘KUNYWAAH NA USHINDE'

Loading...
COCA COLA KWANZA BOTTLERS YAKABIDHI ZAWADI ZA PROMOSHENI YA ‘KUNYWAAH NA USHINDE' - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa COCA COLA KWANZA BOTTLERS YAKABIDHI ZAWADI ZA PROMOSHENI YA ‘KUNYWAAH NA USHINDE', tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : COCA COLA KWANZA BOTTLERS YAKABIDHI ZAWADI ZA PROMOSHENI YA ‘KUNYWAAH NA USHINDE'
link : COCA COLA KWANZA BOTTLERS YAKABIDHI ZAWADI ZA PROMOSHENI YA ‘KUNYWAAH NA USHINDE'

soma pia


COCA COLA KWANZA BOTTLERS YAKABIDHI ZAWADI ZA PROMOSHENI YA ‘KUNYWAAH NA USHINDE'


Mtaalamu wa Masuala ya masoko wa Kampuni ya Coca-Cola Kwanza, Maureen Stambuli (kushoto) akikabidhi zawadi ya fedha taslimu kiasi cha shilingi laki moja 100,000/= kwa Mkazi wa Mbagala, Furaha Suleiman Mwinyimvua (42) wakati wa hafla ya kuwakabidhi washindi wa Promosheni inayoendelea ya ‘Kunywaaah na Ushinde’ ambayo ilifanyika mwishoni mwa juma jijini Dar es salaam. Promosheni hiyo ya miezi mitatu inaenda sambamba na msimu huu wa Coke Studio ambapo imedhamiria kuwatunuku wateja wake pendwa ambapo watu mbalimbali wanajinyakulia fedha taslimu, runinga na bidhaa nyingine nyingi kutoka Coca Cola.

Meneja Mauzo wa Coca-Cola Kwanza, Alex Ishengoma (kushoto) akikabidhi zawadi ya fedha taslimu kiasi cha shilingi laki moja 100,000/= kwa Mkazi wa Kawe, Bi. Martha Mushi wakati wa hafla ya kuwakabidhi washindi wa Promosheni inayoendelea ya ‘Kunywaaah na Ushinde’ ambayo ilifanyika mwishoni mwa juma jijini Dar es salaam. Promosheni hiyo ya miezi mitatu inaenda sambamba na msimu huu wa Coke Studio ambapo imedhamiria kuwatunuku wateja wake pendwa ambapo watu mbalimbali wanajinyakulia fedha taslimu, runinga na bidhaa nyingine nyingi kutoka Coca Cola.

Meneja Usambazaji wa Coca-Cola Kwanza, Jacqueline Kimoy (kushoto) akikabidhi zawadi ya fedha taslimu kiasi cha shilingi laki moja 100,000/= kwa Mkazi wa Ubungo Msewe, Bi. Esther Luca Machanja wakati wa hafla ya kuwakabidhi washindi wa Promosheni inayoendelea ya ‘Kunywaaah na Ushinde’ ambayo ilifanyika mwishoni mwa juma jijini Dar es salaam. Promosheni hiyo ya miezi mitatu inaenda sambamba na msimu huu wa Coke Studio ambapo imedhamiria kuwatunuku wateja wake pendwa ambapo watu mbalimbali wanajinyakulia fedha taslimu, runinga na bidhaa nyingine nyingi kutoka Coca Cola.

Meneja Mauzo wa Coca-Cola Kwanza, Beatrice Nchimbi (kushoto) akikabidhi zawadi ya Runinga kwa Mkazi wa Kinondoni, Daniel Mollel wakati wa hafla ya kuwakabidhi washindi wa Promosheni inayoendelea ya ‘Kunywaaah na Ushinde’ ambayo ilifanyika mwishoni mwa juma jijini Dar es salaam. Promosheni hiyo ya miezi mitatu inaenda sambamba na msimu huu wa Coke Studio ambapo imedhamiria kuwatunuku wateja wake pendwa ambapo watu mbalimbali wanajinyakulia fedha taslimu, runinga na bidhaa nyingine nyingi kutoka Coca Cola.

Meneja Mauzo wa Coca-Cola Kwanza, Beatrice Nchimbi (kushoto) akikabidhi zawadi ya Runinga kwa Mkazi wa Ukonga, Nassib Suleiman wakati wa hafla ya kuwakabidhi washindi wa Promosheni inayoendelea ya ‘Kunywaaah na Ushinde’ ambayo ilifanyika mwishoni mwa juma jijini Dar es salaam. Promosheni hiyo ya miezi mitatu inaenda sambamba na msimu huu wa Coke Studio ambapo imedhamiria kuwatunuku wateja wake pendwa ambapo watu mbalimbali wanajinyakulia fedha taslimu, runinga na bidhaa nyingine nyingi kutoka Coca Cola.

Afisa wa Coca-Cola Kwanza kutoka kitengo cha Masoko, Arthur Kiara (kushoto) akikabidhi zawadi ya Runinga kwa Mkazi wa Mbezi Beach, Augustino Paulo wakati wa hafla ya kuwakabidhi washindi wa Promosheni inayoendelea ya ‘Kunywaaah na Ushinde’ ambayo ilifanyika mwishoni mwa juma jijini Dar es salaam. Promosheni hiyo ya miezi mitatu inaenda sambamba na msimu huu wa Coke Studio ambapo imedhamiria kuwatunuku wateja wake pendwa ambapo watu mbalimbali wanajinyakulia fedha taslimu, runinga na bidhaa nyingine nyingi kutoka Coca Cola.


Hivyo makala COCA COLA KWANZA BOTTLERS YAKABIDHI ZAWADI ZA PROMOSHENI YA ‘KUNYWAAH NA USHINDE'

yaani makala yote COCA COLA KWANZA BOTTLERS YAKABIDHI ZAWADI ZA PROMOSHENI YA ‘KUNYWAAH NA USHINDE' Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala COCA COLA KWANZA BOTTLERS YAKABIDHI ZAWADI ZA PROMOSHENI YA ‘KUNYWAAH NA USHINDE' mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/coca-cola-kwanza-bottlers-yakabidhi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "COCA COLA KWANZA BOTTLERS YAKABIDHI ZAWADI ZA PROMOSHENI YA ‘KUNYWAAH NA USHINDE'"

Post a Comment

Loading...