Loading...
title : dc newala akimbizwa muhimbili baada ya kupata ajali
link : dc newala akimbizwa muhimbili baada ya kupata ajali
dc newala akimbizwa muhimbili baada ya kupata ajali
Mkuu wa wilaya ya Newala mkoani Mtwara Aziza Mangosongo akisaidiwa kupandishwa katika gari la wagonjwa baada ya kupata Rufaa toka hospital ya sokoine kwenda muhimbili..
Mkuu wa mkoa wa lindi akiwa na mkuu wa wilaya ya Mtwara Evod Mmanda(kulia ) wakimsindikiza mkuu wa wilaya ya Newala Aziza Mangosongo aliepata ajali jana usiku katika kijiji cha mandawa wilayani kilwa mkoani lindi na kukimbizwa katika hospital ya sokoine akiwa na majreuhi wengine watatu
kuu wa wilaya ya Newala Aziza mangosongo akiwa tayari katika gari la wagonjwa kuanza safari ya matibabu Zaidi katika hospital ya Muhimbili
Mkuu wa mkoa wa Lindi Godfrey Zambi,akimsalimia mkuu wa wilaya ya newala Aziza Mangosongo kabla ya kupewa rufaa mchana leo
Mkuu wa mkoa wa lindi,Godfrey zambi akibadilishana mawazo na mkuu wa mkoa wa mtwara,Gelasius Byakanwa mara baada ya kumtakia hali mkuu wa wilaya ya Newala Aliepata ajali jana na kulazwa katika hospital ya sokoine Mjini Lindi
Mkuu wa mkoa wa lindi,Godfrey zambi akiwa na mkuu wa mkoa wa mtwara Gelasius Byakanwa ,pamoja wakuu wa wilaya waliofika kumtakia heri Mkuu wa wilaya newala katika hospital ya sokoine
Hivyo makala dc newala akimbizwa muhimbili baada ya kupata ajali
yaani makala yote dc newala akimbizwa muhimbili baada ya kupata ajali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala dc newala akimbizwa muhimbili baada ya kupata ajali mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/dc-newala-akimbizwa-muhimbili-baada-ya.html
0 Response to "dc newala akimbizwa muhimbili baada ya kupata ajali"
Post a Comment