Loading...
title : DJ MWANAMKE MWENYE MIAKA 83 ANAYEPIGA MUZIKI KATIKA KLABU ZA USIKU
link : DJ MWANAMKE MWENYE MIAKA 83 ANAYEPIGA MUZIKI KATIKA KLABU ZA USIKU
DJ MWANAMKE MWENYE MIAKA 83 ANAYEPIGA MUZIKI KATIKA KLABU ZA USIKU
Leandra Gabriel, Globu ya jamii
SUMIKO Iwamura mwanamke(83) kutoka nchini Japan ndiye Dj wa klabu mzee zaidi duniani aliyetambulika na Guiness World Record ambaye hadi sasa anafanya shughuli hiyo.
Sumiko Iwamura maarufu kama Dj Sumirock alizaliwa Januari 23, 1934 na alikuwa na ndoto za kuwa mtu maarufu duniani kote lakini baada ya baba yake kufungua mgahawa alienda kusaidia hapo mara baada ya kumaliza shule.
Dj Sumirock alienda shule na kujifunza fani hiyo akiwa na miaka 77 na kuanza kufanya kazi hiyo mara mbili kwa mwezi huku akiendelea na kazi ya kuuza mgahawa.
Akiwa na ndoto za kusafiri duniani kote Dj Sumirock amesafiri katika nchi mbalimbali zikiwemo Paris na Newzealand huku akieleza kupendezwa za muziki wa Jazz na Rock.
Alipoulizwa na jarida la Guiness World Report kuhusiana na fani hiyo alieleza kuwa, "Ninafikiri nilizaliwa na kipaji hiki na huwa sifanyi mazoezi kwa ajili ya afya ila ninapopiga muziki naona nafanya kitu cha tofauti, nahisi nna nguvu" ameeleza Dj. Sumirock.
Kuhusiana na vijana wanaopambana kutimiza ndoto zao Dj. Sumirock alinukuliwa akisema kuwa, "Nafasi zipo kila siku, wasikate tamaa na daima wasisite kujaribu kitu" alieleza.
Dj. Sumirock ana ndoto za kusafiri duniani kote kwa kazi yake ya kupiga muziki.
Hivyo makala DJ MWANAMKE MWENYE MIAKA 83 ANAYEPIGA MUZIKI KATIKA KLABU ZA USIKU
yaani makala yote DJ MWANAMKE MWENYE MIAKA 83 ANAYEPIGA MUZIKI KATIKA KLABU ZA USIKU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DJ MWANAMKE MWENYE MIAKA 83 ANAYEPIGA MUZIKI KATIKA KLABU ZA USIKU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/dj-mwanamke-mwenye-miaka-83-anayepiga.html
0 Response to "DJ MWANAMKE MWENYE MIAKA 83 ANAYEPIGA MUZIKI KATIKA KLABU ZA USIKU"
Post a Comment