Loading...

FAMILIA NCHINI NEWZEALAND ZAANZA KUPOKEA MIILI YA WAPENDWA WAO

Loading...
FAMILIA NCHINI NEWZEALAND ZAANZA KUPOKEA MIILI YA WAPENDWA WAO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa FAMILIA NCHINI NEWZEALAND ZAANZA KUPOKEA MIILI YA WAPENDWA WAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : FAMILIA NCHINI NEWZEALAND ZAANZA KUPOKEA MIILI YA WAPENDWA WAO
link : FAMILIA NCHINI NEWZEALAND ZAANZA KUPOKEA MIILI YA WAPENDWA WAO

soma pia


FAMILIA NCHINI NEWZEALAND ZAANZA KUPOKEA MIILI YA WAPENDWA WAO

* Waziri Mkuu kutangaza sheria mpya ya umiliki wa silaha ndani ya siku 10
Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii
LEO Machi 20 ndugu wa familia za waliopoteza maisha katika shambulio la kigaidi katika misikiti ya Wood na Al Nool katika mji wa Christchurch nchini Newzealand.

Kwa mujibu wa mtandao wa Dailymail miili hiyo imekabidhiwa kwa ndugu zao huku polisi wakieleza kuwa uchunguzi umekamilika ambapo miili 12 ikiwa imetambulika na tayari miili 6 imekabidhiwa kwa ndugu zao.

Waziri Mkuu nchini humo Jacinda Ardern amesema kuwa kufikia jumatano miili yote itakuwa imekabidhiwa kwa ndugu zao.

Aida Jacinda amesema kuwa ndani ya siku 10 kuanzia sasa sheria mpya ya umiliki wa silaha itatangazwa na wanaamini taifa hilo litakuwa salama zaidi.

Shambulio hilo la kigaidi lilitokea ijumaa wiki iliyopita na tayari mtuhuma wa mauaji hayo Brenton  Tarrant (28)raia wa Australia alifikishwa mahakama mapema Jumamosi.


Hivyo makala FAMILIA NCHINI NEWZEALAND ZAANZA KUPOKEA MIILI YA WAPENDWA WAO

yaani makala yote FAMILIA NCHINI NEWZEALAND ZAANZA KUPOKEA MIILI YA WAPENDWA WAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala FAMILIA NCHINI NEWZEALAND ZAANZA KUPOKEA MIILI YA WAPENDWA WAO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/familia-nchini-newzealand-zaanza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "FAMILIA NCHINI NEWZEALAND ZAANZA KUPOKEA MIILI YA WAPENDWA WAO"

Post a Comment

Loading...