Loading...

HIVI NDIVYO RUGE MUTAHABA ALIVYOPOKELEWA NYUMBANI KWAO BUKOBA MPAKA KIJIJINI KWAO KAZIRU,RC BRIGEDIA JENERALI GAGUTI AONGOZA MAPOKEZI

Loading...
HIVI NDIVYO RUGE MUTAHABA ALIVYOPOKELEWA NYUMBANI KWAO BUKOBA MPAKA KIJIJINI KWAO KAZIRU,RC BRIGEDIA JENERALI GAGUTI AONGOZA MAPOKEZI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HIVI NDIVYO RUGE MUTAHABA ALIVYOPOKELEWA NYUMBANI KWAO BUKOBA MPAKA KIJIJINI KWAO KAZIRU,RC BRIGEDIA JENERALI GAGUTI AONGOZA MAPOKEZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HIVI NDIVYO RUGE MUTAHABA ALIVYOPOKELEWA NYUMBANI KWAO BUKOBA MPAKA KIJIJINI KWAO KAZIRU,RC BRIGEDIA JENERALI GAGUTI AONGOZA MAPOKEZI
link : HIVI NDIVYO RUGE MUTAHABA ALIVYOPOKELEWA NYUMBANI KWAO BUKOBA MPAKA KIJIJINI KWAO KAZIRU,RC BRIGEDIA JENERALI GAGUTI AONGOZA MAPOKEZI

soma pia


HIVI NDIVYO RUGE MUTAHABA ALIVYOPOKELEWA NYUMBANI KWAO BUKOBA MPAKA KIJIJINI KWAO KAZIRU,RC BRIGEDIA JENERALI GAGUTI AONGOZA MAPOKEZI

Mwili Wa marehemu Ruge Mutahaba tayari umekwisha wasili nyumbani kwao kijijini Kiziru Bukoba mkoani Kagera leo,ambapo watu mbalimbali wamejitokeza kumpokea,huku msafara huo ukiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti .

Sanduku lenye mwili wa Marehemu Ruge Mutahaba ukipokelewa uwanja wa ndege wa Bukoba 'Bukoba Airport',na kupokelewa na watu mbalimbali huku Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti akiongoza mapokezi hayo.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Brigedia Jenerali Marco Gaguti  amefika uwanja wa ndege kuongoza mapokezi ya mpendwa wetu Ruge Mutahaba. Kabla Brigedia Jenerali Marco Gaguti kufika hapa Kagera alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe kipindi kile alikuwa ni Kanali kabla ya kupanda cheo amefanya kazi za kizalendo bega kwa bega na Ruge Mutahaba mojawapo ikiwa ni Fursa na Ile ya Umoja wa Mataifa Kigoma Programu ya pamoja.
Wazazi wa Marehemu Ruge,Prof Mutahaba na Mkewa akiwasili uwanja wa ndege wa Bukoba.
Mtoto wa kwanza wa Marehemu akifarijiwa baada ya kuwasili Bukoba.
Sanduku lenye mwili wa Marehemu Ruge Mutahaba likipokelewa uwanja wa ndege wa Bukoba 'Bukoba Airport',na kupokelewa na watu mbalimbali huku Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti akiongoza mapokezi hayo.




Hivyo makala HIVI NDIVYO RUGE MUTAHABA ALIVYOPOKELEWA NYUMBANI KWAO BUKOBA MPAKA KIJIJINI KWAO KAZIRU,RC BRIGEDIA JENERALI GAGUTI AONGOZA MAPOKEZI

yaani makala yote HIVI NDIVYO RUGE MUTAHABA ALIVYOPOKELEWA NYUMBANI KWAO BUKOBA MPAKA KIJIJINI KWAO KAZIRU,RC BRIGEDIA JENERALI GAGUTI AONGOZA MAPOKEZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HIVI NDIVYO RUGE MUTAHABA ALIVYOPOKELEWA NYUMBANI KWAO BUKOBA MPAKA KIJIJINI KWAO KAZIRU,RC BRIGEDIA JENERALI GAGUTI AONGOZA MAPOKEZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/hivi-ndivyo-ruge-mutahaba_3.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "HIVI NDIVYO RUGE MUTAHABA ALIVYOPOKELEWA NYUMBANI KWAO BUKOBA MPAKA KIJIJINI KWAO KAZIRU,RC BRIGEDIA JENERALI GAGUTI AONGOZA MAPOKEZI"

Post a Comment

Loading...