Loading...

IGP SIRRO AONGOZA MAAFISA, ASKARI NA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA NAIBU KAMISHNA WA POLISI DCP MATANGA MBUSHI

Loading...
IGP SIRRO AONGOZA MAAFISA, ASKARI NA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA NAIBU KAMISHNA WA POLISI DCP MATANGA MBUSHI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO AONGOZA MAAFISA, ASKARI NA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA NAIBU KAMISHNA WA POLISI DCP MATANGA MBUSHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO AONGOZA MAAFISA, ASKARI NA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA NAIBU KAMISHNA WA POLISI DCP MATANGA MBUSHI
link : IGP SIRRO AONGOZA MAAFISA, ASKARI NA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA NAIBU KAMISHNA WA POLISI DCP MATANGA MBUSHI

soma pia


IGP SIRRO AONGOZA MAAFISA, ASKARI NA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA NAIBU KAMISHNA WA POLISI DCP MATANGA MBUSHI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Simon Sirro akiweka sahihi kwenye kitabu cha waombolezaji baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi DCP Renatus Matanga Mbushi, aliyefariki dunia tarehe 03/03 mwaka huu huko Mkoani Mbeya alipokuwa kwenye ziara ya kikazi na mwili wake kusafirishwa kuja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya taratibu za mazishi.(Picha na Jeshi la Polisi).
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Simon Sirro, akiteta jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu IGP Said Mwema wakati walipokutana nyumbani kwa Marehemu Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi DCP Renatus Matanga Mbushi, katika kambi ya Maafisa wa Polisi Oysterbay, Kinondoni jijini Dar es salaam, msiba huo ulitokea tarehe 03/03 mwaka huu huko Mkoani Mbeya alipokuwa kwenye ziara ya kikazi na mwili wake kusafirishwa kuja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya taratibu za mazishi.(Picha na Jeshi la Polisi).
Maofisa wa Jeshi la Polisi wakiingiza mwili wa Marehemu Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi DCP Renatus Matanga Mbushi katika Kanisa la Parokia ya Mt. Petro lililopo Oysterbay  jijini Dar es salaam kwa ajili ya  misa ya kuuaga, msiba huo ulitokea tarehe 03/03 mwaka huu huko Mkoani Mbeya alipokuwa kwenye ziara ya kikazi na mwili wake kusafirishwa kuja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya taratibu za mazishi.(Picha na Jeshi la Polisi).
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Simon Sirro akiaga mwili wa marehemu Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi DCP Renatus Matanga Mbushi, katika Kanisa la Parokia ya Mt. Petro Oysterbay jijini Dar es salaam msiba huo ulitokea tarehe 03/03 mwaka huu huko Mkoani Mbeya alipokuwa kwenye ziara ya kikazi na mwili wake kusafirishwa kuja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya taratibu za mazishi.(Picha na Jeshi la Polisi).



Hivyo makala IGP SIRRO AONGOZA MAAFISA, ASKARI NA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA NAIBU KAMISHNA WA POLISI DCP MATANGA MBUSHI

yaani makala yote IGP SIRRO AONGOZA MAAFISA, ASKARI NA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA NAIBU KAMISHNA WA POLISI DCP MATANGA MBUSHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AONGOZA MAAFISA, ASKARI NA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA NAIBU KAMISHNA WA POLISI DCP MATANGA MBUSHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/igp-sirro-aongoza-maafisa-askari-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "IGP SIRRO AONGOZA MAAFISA, ASKARI NA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA NAIBU KAMISHNA WA POLISI DCP MATANGA MBUSHI"

Post a Comment

Loading...