Loading...
title : JAJI BARNABAS SAMMATA ASHAURI KUBADILISHA JINA LA MAHAKAMA YA MAFISADI
link : JAJI BARNABAS SAMMATA ASHAURI KUBADILISHA JINA LA MAHAKAMA YA MAFISADI
JAJI BARNABAS SAMMATA ASHAURI KUBADILISHA JINA LA MAHAKAMA YA MAFISADI
*Ahoji kuhusu Mahakama ya mafisadi, ahoji kuhusu jina hilo la Mahakama mafisadi ni nani katika mahakama hiyo, je ni majaji? Mawakili? Washtakiwa au mashahidi? apendekeza jina hilo kubadilishwa
Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii
JAJI mkuu mstaafu na Mkuu wa Chuo kikuu cha Mzumbe Barnabas Sammata ameshauri kubadilishwa kwa jina la mahakama ya mafisadi na litafutwe jina ambalo litasadifu wanaopelekwa katika mahakama hiyo ni washtakiwa.
Akizungumza katika mdahalo uliowakutanisha na wanafunzi wa chuo cha sheria nchini na kujadili mada kuhusiana na mapambano dhidi ya rushwa katika utoaji wa huduma ya mahakama jaji Sammata amesema kuwa jina la mahakama ya mafisadi halisadifu wanaopelekwa katika mahakama hiyo kwa kuwa haifamiki mafisadi ni akina nani?, majaji? Mawakili? au mashahidi? na akashauri jina mbadala litafutwe ili kusadifu wanaopelekwa katika mahakama hiyo.
Katika mdahalo huo jaji Sammata alitoa rai kwa wanasheria kote nchini kuwa mstari wa mbele kupinga kansa ya rushwa wakati wa utoaji wa huduma kwa wananchi.
Jaji Mkuu mstaafu na Mkuu wa chuo kikuu cha Mzumbe Barnabas Sammata akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha sheria nchini katika mdahalo wa uwajibikaji na mapambano dhidi ya rushwa katika utoaji wa huduma ya haki na mahakama.
Hivyo makala JAJI BARNABAS SAMMATA ASHAURI KUBADILISHA JINA LA MAHAKAMA YA MAFISADI
yaani makala yote JAJI BARNABAS SAMMATA ASHAURI KUBADILISHA JINA LA MAHAKAMA YA MAFISADI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JAJI BARNABAS SAMMATA ASHAURI KUBADILISHA JINA LA MAHAKAMA YA MAFISADI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/jaji-barnabas-sammata-ashauri.html
0 Response to "JAJI BARNABAS SAMMATA ASHAURI KUBADILISHA JINA LA MAHAKAMA YA MAFISADI"
Post a Comment