Loading...

Jeshi la polisi Arusha lazindua Mfumo mpya wa kukusanya madeni

Loading...
Jeshi la polisi Arusha lazindua Mfumo mpya wa kukusanya madeni - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Jeshi la polisi Arusha lazindua Mfumo mpya wa kukusanya madeni, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Jeshi la polisi Arusha lazindua Mfumo mpya wa kukusanya madeni
link : Jeshi la polisi Arusha lazindua Mfumo mpya wa kukusanya madeni

soma pia


Jeshi la polisi Arusha lazindua Mfumo mpya wa kukusanya madeni

Na Woinde Shizza Globu ya Jamii.

Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limetambulisha mfumo mpya wa ukusanyaji wa Madeni ya Makosa ya usalama barabarani unaotumia kamera maalumu zenye uwezo wa kupiga picha na kutambua gari linalodaiwa.

Akizungumza na vyombo vya habari mapema leo Kamanda wa jeshi la Polisi mkoani Arusha Jonathan Shana amesema kuwa mfumo huo mpya utarahisisha kutambua Magari yote yanayodaiwa kupitia kamera maalumu zilizofungwa barabarani zitakazo kuwa zikipiga picha na kuonyesha kiasi ambacho gari linadaiwa.

Kamanda Shana amesema kuwa Jiji la Arusha limepata  kamera tatu za kisasa zinazotembea na zimefungwa katika maeneo mbalimbali katika Jiji la Arusha na kwamba machine hizo zinauwezo wa kutambua  namba za Magari ya aina mbali mbali.

Mtaalamu wa kitengo cha IT kutoka makao Makuu ya jeshi la polisi nchini,ACP Mayala Towo amesema mfumo huo umeanza kutumika  jijini dar es salaam tangu mwaka 2015, na sasa unasambaa nchi nzima na lengo ni kuhakikisha fedha ya serikali zinakusanywa kwa wakati.
Mmoja ya askari wa usalama barabarani anayeendesha mfumo huo wa kamera, Pc Masalu Yamala amesema zoezi hilo limekuwa na mafanikio makubwa kwani imerahisisha utambuzi wa Magari yanayodaiwa tofauti na hapo awali kwa kuwa lilikuwa likipoteza muda mwingi.

kamanda Shana alitumia wasaa huo kujitambulisha kwa waandishi wa habari na kueleza vipaumbele vyake vya utendaji kazi ikiwa ni pamoja na kupambana na uingizaji na utumiaji wa Dawa za kulevya ikiwemo Cocaine, Mirungi na Bangi.7

Picha ikionyesha Mmoja ya askari wa usalama barabarani anayeendesha mfumo huo wa kamera, Pc Masalu Yamala akiwaonyesha waandishi  Wa habari na wananchi jinsi kamera hiyo inavyofanya Kazi(Picha na Woinde Shizza globu ya jamii ).


Hivyo makala Jeshi la polisi Arusha lazindua Mfumo mpya wa kukusanya madeni

yaani makala yote Jeshi la polisi Arusha lazindua Mfumo mpya wa kukusanya madeni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Jeshi la polisi Arusha lazindua Mfumo mpya wa kukusanya madeni mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/jeshi-la-polisi-arusha-lazindua-mfumo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Jeshi la polisi Arusha lazindua Mfumo mpya wa kukusanya madeni"

Post a Comment

Loading...