Loading...
title : KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATOA MAFUNZO ARUSHA
link : KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATOA MAFUNZO ARUSHA
KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATOA MAFUNZO ARUSHA
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mhe. George Simbachawene akifungua mafunzo kwa Kamati hiyo kuhusu mbinu na utaratibu wa kufuatilia utekelezaji wa mipango na programu mbalimbali za Serikali. Mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Arusha yamedhaminiwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) chini ya Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP II).
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, wakifuatilia mada katika mafunzo kuhusu mbinu na utaratibu wa kufuatilia utekelezaji wa mipango na programu mbalimbali za Serikali. Mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Arusha yamedhaminiwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) chini ya Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP II).
Hivyo makala KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATOA MAFUNZO ARUSHA
yaani makala yote KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATOA MAFUNZO ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATOA MAFUNZO ARUSHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/kamati-ya-bunge-ya-bajeti-yatoa-mafunzo.html
0 Response to "KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATOA MAFUNZO ARUSHA"
Post a Comment