Loading...
title : KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAKAGUA MAENDELEO YA UJENZI MJI WA SERIKALI DODOMA
link : KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAKAGUA MAENDELEO YA UJENZI MJI WA SERIKALI DODOMA
KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAKAGUA MAENDELEO YA UJENZI MJI WA SERIKALI DODOMA
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka akiwaongoza Wajumbe wa Kamati hiyo kukagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora katika Mji wa Serikali uliyopo Ihumwa Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakikagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora katika Mji wa Serikali uliyopo Ihumwa Jijini Dodoma hii leo. Kushoto ni Mbunge wa Nyamagana Mhe. Stanslaus Mabula na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Felister Bura. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesbu za Serikali (PAC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka wakisikiliza maelezo ya mbunifu wa majengo kutoka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Ndg Hamis Kileo walipokuwa wakikagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora katika Mji wa Serikali uliyopo Ihumwa Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Hivyo makala KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAKAGUA MAENDELEO YA UJENZI MJI WA SERIKALI DODOMA
yaani makala yote KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAKAGUA MAENDELEO YA UJENZI MJI WA SERIKALI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAKAGUA MAENDELEO YA UJENZI MJI WA SERIKALI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/kamati-ya-bunge-ya-hesabu-za-serikali.html
0 Response to "KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAKAGUA MAENDELEO YA UJENZI MJI WA SERIKALI DODOMA"
Post a Comment