Loading...
title : KAMPUNI YA CTS KUTOKA CHINA YAAHIDI KUSAIDIA JUHUDI ZA KUKUZA SEKTA YA UTALII NCHINI
link : KAMPUNI YA CTS KUTOKA CHINA YAAHIDI KUSAIDIA JUHUDI ZA KUKUZA SEKTA YA UTALII NCHINI
KAMPUNI YA CTS KUTOKA CHINA YAAHIDI KUSAIDIA JUHUDI ZA KUKUZA SEKTA YA UTALII NCHINI
Kampuni ya China National Travel Service Group Corporation(CTS) imeahidi kusaidia juhudi za kukuza sekta ya utalii nchini kwa kuwekeza katika ujenzi wa hoteli za kitalii Tanzania bara na Zanzibar,ikiwemo pia kuvitangaza vivutio vya utalii vya Tanzania kupitia mtandao wake @TTBTanzania
Ahadi hiyo imetolewa leo na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa CTS Balozi Dk. Lv Youqing alipokutana na Balozi Kairuki katika makao makuu ya CTS jijini Hong Kong. CTS ni kampuni inayoongoza nchini China katika biashara ya utalii ikiwa inamiliki hoteli 200 na Ofisi za uwakala wa usafiri 2500
Balozi wa Tanzania nchini China Mh.Mbelwa Kairuki akijadiliana jambo na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa CTS Balozi Dk. Lv Youqing jijini Hong Kong
Hivyo makala KAMPUNI YA CTS KUTOKA CHINA YAAHIDI KUSAIDIA JUHUDI ZA KUKUZA SEKTA YA UTALII NCHINI
yaani makala yote KAMPUNI YA CTS KUTOKA CHINA YAAHIDI KUSAIDIA JUHUDI ZA KUKUZA SEKTA YA UTALII NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA CTS KUTOKA CHINA YAAHIDI KUSAIDIA JUHUDI ZA KUKUZA SEKTA YA UTALII NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/kampuni-ya-cts-kutoka-china-yaahidi.html
0 Response to "KAMPUNI YA CTS KUTOKA CHINA YAAHIDI KUSAIDIA JUHUDI ZA KUKUZA SEKTA YA UTALII NCHINI"
Post a Comment