Loading...
title : KANGI LUGOLA AFANYA ZIARA YA KIKAZI GEREZA MAHABUSU SEGEREA JIJINI DAR ES SALAAM
link : KANGI LUGOLA AFANYA ZIARA YA KIKAZI GEREZA MAHABUSU SEGEREA JIJINI DAR ES SALAAM
KANGI LUGOLA AFANYA ZIARA YA KIKAZI GEREZA MAHABUSU SEGEREA JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola (wa kwanza kushoto) akikaribishwa na Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike(kulia) nje ya viwanja vya Gereza la Mahabusu Segerea. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani Meja Jenerali Jacob Kingu.
Afisa wa zamu wa Gereza la Mahabusu Segerea, Mkaguzi Ambrose Kasanga (wa tatu kushoto) akimpa taarifa ya Gereza Waziri Kangi Lugola
Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Mkuu wa Gereza Segerea.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola(wa pili kulia) akikagua jengo la zahanati ya ndani ya Gereza ambalo liko kwenye hatua za mwisho za ujenzi.
Waziri Kangi Lugola akifanya mazungumzo na baadhi ya Mahabusu Ndani ya Gereza la Segerea.
Hivyo makala KANGI LUGOLA AFANYA ZIARA YA KIKAZI GEREZA MAHABUSU SEGEREA JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote KANGI LUGOLA AFANYA ZIARA YA KIKAZI GEREZA MAHABUSU SEGEREA JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KANGI LUGOLA AFANYA ZIARA YA KIKAZI GEREZA MAHABUSU SEGEREA JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/kangi-lugola-afanya-ziara-ya-kikazi.html
0 Response to "KANGI LUGOLA AFANYA ZIARA YA KIKAZI GEREZA MAHABUSU SEGEREA JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment