Loading...

KIFO CHA KIBONDE NI PENGO KUBWA KWA TAIFA-MAJALIWA

Loading...
KIFO CHA KIBONDE NI PENGO KUBWA KWA TAIFA-MAJALIWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KIFO CHA KIBONDE NI PENGO KUBWA KWA TAIFA-MAJALIWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KIFO CHA KIBONDE NI PENGO KUBWA KWA TAIFA-MAJALIWA
link : KIFO CHA KIBONDE NI PENGO KUBWA KWA TAIFA-MAJALIWA

soma pia


KIFO CHA KIBONDE NI PENGO KUBWA KWA TAIFA-MAJALIWA


WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kifo cha aliyekuwa Mtangazaji Muandamizi wa kituo cha redio cha Clouds, Ephraim Kibonde ni pengo kubwa kwa Taifa, Clouds Media Group na tasnia ya habari kwa ujumla.

Ameyasema hayo leo (Ijumaa, Machi 8, 2019) alipokwenda kuhani msiba wa Mtangazaji Muandamizi kituo cha redio Clouds, Kibonde kwa niaba ya Rais Dkt. John Magufuli, nyumbani kwa wazazi wa marehemu Mbezi Beach Dar es Salaam.Kibonde alifariki dunia jana alfajiri Machi 7, 2019 jijini Mwanza.

“Msiba huu umetushtua sana na ni tukio ambalo hatukulitarajia ila ni mapenzi ya Mwenyezi Mungu. Hivi karibuni sote tulimshuhudia akiongoza ratiba ya kumuaga aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba na alienda hadi Kagera kumzika.”

Waziri Mkuu amesema marehemuKibonde enzi za uhai wake ameshirikiana vizuri na Serikali katika shughuli mbalimbali, hivyo amewaomba wananchi waendelee kushikamana na kuifariji familia. “Tumuombee marehemu apumzike kwa amani.

Kadhalika, Waziri Mkuu ametoa wito kwa wazazi, watoto wa marehemu pamoja na wananchi kwa ujumla waendelee kuwa na subira na watulivu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wao. 

IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
IJUMAA, MACHI 8, 2019.


Hivyo makala KIFO CHA KIBONDE NI PENGO KUBWA KWA TAIFA-MAJALIWA

yaani makala yote KIFO CHA KIBONDE NI PENGO KUBWA KWA TAIFA-MAJALIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KIFO CHA KIBONDE NI PENGO KUBWA KWA TAIFA-MAJALIWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/kifo-cha-kibonde-ni-pengo-kubwa-kwa_8.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KIFO CHA KIBONDE NI PENGO KUBWA KWA TAIFA-MAJALIWA"

Post a Comment

Loading...