Loading...
title : Kongamano la Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Alim Mohamed Shein,
link : Kongamano la Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Alim Mohamed Shein,
Kongamano la Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Alim Mohamed Shein,
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Bi. Gaudensia Kabaka akimkabidhi zawadi ya Saa Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, wakati wa Mkutano wa Kongamano lililoandaliwa na UWT Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Ali Mohamed Shein, lililofanyika katika Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar kuhudhuria hafla ya Kongamano la Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.akisalimiana na Mwenyekiti wa UWT Taifa Bi. Gaudinsia Kabaka.
Hivyo makala Kongamano la Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Alim Mohamed Shein,
yaani makala yote Kongamano la Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Alim Mohamed Shein, Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kongamano la Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Alim Mohamed Shein, mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/kongamano-la-kumpongeza-rais-wa.html
0 Response to "Kongamano la Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Alim Mohamed Shein,"
Post a Comment