Loading...
title : Maadhimisho ya Siku Maalum ya Mvumbuzi maarufu Duniani Dkt,David Livingstone
link : Maadhimisho ya Siku Maalum ya Mvumbuzi maarufu Duniani Dkt,David Livingstone
Maadhimisho ya Siku Maalum ya Mvumbuzi maarufu Duniani Dkt,David Livingstone
Meneja Masoko na Uenezi Idara ya Makumbusho na Mambo ya Kale Yusfar Abrahman Khatib akisoma risalaba katika Maadhimisho ya Siku Maalum ya Mvumbuzi maarufu Duniani Dkt,Devid Livingstone,yaliofanyika Gulioni Mjini Zanzibar
Afisa Elimu Idara ya Makumbusho na Mambo ya Kale Mwalimu Ramadhan Ali Machano akisoma maelezo kuhusiana na Maisha ya Dkt,David Livingstone Mvumbuzi maarufu Duniani katika Maadhimisho ya Siku ya Dkt,David Livingstone,yaliofanyika Gulioni Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi wa Idara ya Makumbusho na Mambo ya Kale Salim Kitwana Sururu akizungumza katika Maadhimisho ya Siku Maalum ya Mvumbuzi maarufu Duniani Dkt,David Livingstone,yaliofanyika Gulioni Mjini Zanzibar.
Katibu Mtendaji Kamisheni ya Utalii Dk,Abdalla Mohamed Juma akizungumza katika Maadhimisho ya Siku Maalum ya Mvumbuzi maarufu Duniani Dkt, David Livingstone,yaliofanyika Gulioni Mjini Zanzibar.
Baadhi ya wageni waliohudhuria katika Maadhimisho ya Siku Maalum ya Mvumbuzi maarufu Duniani Dkt David Livingstone,yaliofanyika Gulioni Mjini Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akitoa hotuba ya Maadhimisho ya Siku Maalum ya Mvumbuzi maarufu Duniani Dkt David Livingstone,yaliofanyika Gulioni Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Sabahi Saleh akitoa neno la Shukrani katika Maadhimisho ya Siku Maalum ya Mvumbuzi maarufu Duniani Dkt, David Livingstone,yaliofanyika Gulioni Mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala Maadhimisho ya Siku Maalum ya Mvumbuzi maarufu Duniani Dkt,David Livingstone
yaani makala yote Maadhimisho ya Siku Maalum ya Mvumbuzi maarufu Duniani Dkt,David Livingstone Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maadhimisho ya Siku Maalum ya Mvumbuzi maarufu Duniani Dkt,David Livingstone mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/maadhimisho-ya-siku-maalum-ya-mvumbuzi.html
0 Response to "Maadhimisho ya Siku Maalum ya Mvumbuzi maarufu Duniani Dkt,David Livingstone"
Post a Comment