Loading...

MABALOZI WATAKIWA KUDUMISHA AMANI.

Loading...
MABALOZI WATAKIWA KUDUMISHA AMANI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MABALOZI WATAKIWA KUDUMISHA AMANI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MABALOZI WATAKIWA KUDUMISHA AMANI.
link : MABALOZI WATAKIWA KUDUMISHA AMANI.

soma pia


MABALOZI WATAKIWA KUDUMISHA AMANI.

Na Frankius Cleophace Tarime.

Mabalozi wametakiwa kuendelea kudumisha suala la Amani kuanzia ngazi za chini mpaka ngazi za Juu kwa lengo la kuendelea Amani Upendo na Mshikamano wa Nchi ya Tanzania.

Hayo yamebainishwa na Nancy Msafiri ambaye ni katibu Mwenezi Chama cha Mapinduzi Mkoani Mara katika uzinduzi wa ugawaji wa vitambulisho kwa mabalozi wanatokana na chama cha Mapinduzi Wilayani Tarimre.

Nancy alisema kuwa mabalozi wanapaswa kulinda Usalama wa watanzania kwa sababu ndiyo wanaoishi nao kuanzia ngazi za chini hivyo wakidumisha na kulinda Amani itakuwa faidaka Nchi.

“Sisi Viongozi wa Mkoa hadi Taifa hatuna watu wakiwemo wananchama lakini nyie mabalozi mnaishi na watu mnawajua hivyo mkidumisha Amani Askari hawana kazi pamoja na vyombo vyote vya ulinzi na usalama” alisema Nancy.

Akiongea na Mabalozi hao Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa chama cha Mapinduzi Taifa Gerald Martine ambaye amejitoa kutengeneza vitambulisho hivyo alisema endapo vitakamilika vitaghalimu kiasi cha Shilingi Mill11.7.

Gerald aliongeza kuwa ataendelea kusemea chama cha mapinduzi ikiwa ni pamoja na kuyasema yale yaliyofanywa na chama hicho kutokana na ilani ya chama katika sekta ya Afya, Elimu, Maji na Miundombinu ya Barabara.

Pia Martine aliwataka mabalozi hao kujitokeza kwa wingi na kutoa ushirikiano katika chaguzi za serikali za mitaa ili kuweza kushinda na kurudisha viti vyote ambavyo vipo upinzani.

Aidha katibu wa CCM Wilaya ya Tarime Hamis Mkaruka Kura alisema kuwa wanaendelea na mchakato wa kutengeneza vitambulisho kwa ajili ya mabalozi hao wote wilaya ya Tarime ili wawezekutambulika na serikali ili wafanye majukumu yao bila kubugudhiwa.

Picha ya Nancy Msafiri ambaye ni katibu mwenezi CCM Mkoa wa Mara ambaye alikuwa Mgeni rasmi akikabidhi vitambulisho hivyo kwa mabalozi kutoka wilay ya Tarime katikati ni katibu wa chama hicho wilaya ya Tarime Hamis Mkaruka Kura.



Hivyo makala MABALOZI WATAKIWA KUDUMISHA AMANI.

yaani makala yote MABALOZI WATAKIWA KUDUMISHA AMANI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MABALOZI WATAKIWA KUDUMISHA AMANI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/mabalozi-watakiwa-kudumisha-amani.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MABALOZI WATAKIWA KUDUMISHA AMANI."

Post a Comment

Loading...