Loading...
title : Mafunzo ya Saikolojia kwa wadau wa mapambano dhidi ya udhalilishaji yafanyika Zanzibar
link : Mafunzo ya Saikolojia kwa wadau wa mapambano dhidi ya udhalilishaji yafanyika Zanzibar
Mafunzo ya Saikolojia kwa wadau wa mapambano dhidi ya udhalilishaji yafanyika Zanzibar
Naibu Waziri wa Afya Harusu Saidi Suleiman akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mafunzo ya siku Tano ya Saikolojia kwa Wadau wa Mapambano dhidi ya udhalilishaji yaliofanyika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa Akili Kidongo chekundu mjini Unguja.
Mtoa huduma wa kitengo cha Mkono kwa Mkono Dk,Fatma Ali Haji akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Udhalilishaji katika ufunguzi wa Mafunzo ya siku Tano ya Saikolojia kwa Wadau wa Mapambano dhidi ya udhalilishaji yaliofanyika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa Akili Kidongo chekundu mjini Unguja.
Muezeshaji wa Mafunzo Edwick Mapalala akitoa mafunzo ya Saikolojia kwa Wadau wa Mapambano dhidi ya udhalilishaji yaliofanyika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa Akili Kidongo chekundu mjini Unguja.
Msaidizi Meneja Kitengo Shirikishi Afya ya Mama na Mtoto Dk Mtumwa Ibrahim akitoa hotuba ya kumkaribisha Mgeni Rasmi ili kuyafungua Mafunzo ya siku Tano ya Saikolojia kwa Wadau wa Mapambano dhidi ya udhalilishaji yaliofanyika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa Akili Kidongo chekundu mjini Unguja.
Baadhi ya Wadau wa Mapambano dhidi ya Udhalilishaji waliohudhuria katika Mafunzo ya siku Tano ya Saikolojia yaliofanyika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa Akili Kidongo chekundu mjini Unguja
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR
Hivyo makala Mafunzo ya Saikolojia kwa wadau wa mapambano dhidi ya udhalilishaji yafanyika Zanzibar
yaani makala yote Mafunzo ya Saikolojia kwa wadau wa mapambano dhidi ya udhalilishaji yafanyika Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mafunzo ya Saikolojia kwa wadau wa mapambano dhidi ya udhalilishaji yafanyika Zanzibar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/mafunzo-ya-saikolojia-kwa-wadau-wa_4.html
0 Response to "Mafunzo ya Saikolojia kwa wadau wa mapambano dhidi ya udhalilishaji yafanyika Zanzibar"
Post a Comment