Loading...

Makabidhiano ya Ofisi Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Yafanyika Katika Jengo la Wizara ya Fedha Vuga Zanzibar

Loading...
Makabidhiano ya Ofisi Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Yafanyika Katika Jengo la Wizara ya Fedha Vuga Zanzibar - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makabidhiano ya Ofisi Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Yafanyika Katika Jengo la Wizara ya Fedha Vuga Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makabidhiano ya Ofisi Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Yafanyika Katika Jengo la Wizara ya Fedha Vuga Zanzibar
link : Makabidhiano ya Ofisi Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Yafanyika Katika Jengo la Wizara ya Fedha Vuga Zanzibar

soma pia


Makabidhiano ya Ofisi Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Yafanyika Katika Jengo la Wizara ya Fedha Vuga Zanzibar


Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe Balozi Mohammed Ramia Abduwawa akisaiuni Hati ya Makabidhiano ya Ofisi na Aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mwakilishiu wa Jimbo la Donde Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed kulia, hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Fedha na Mipango Vuga Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar (MBM) Balozi Mohammed Ramia Abduwawa kushoto akikabidhia Hati za Wizara ya Fedha na Mipango, kutoka kwa aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mwakilishi wa Jimbo la Donde Zanzibar Dkt. Khalid Salum Mohammed, kulia,Hafla hiyi imefanyika katika ukumbi wa Mkutano wa Wizara hiyo Vuga Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar, Nd. Khamis Mussa akizungumza na kuwakaribisha Mawaziri, na waalikwa mbalimbali waliohudhuria katika ghafla ya makabidhiano yaliofanyika ofisini hapo Vuga Mjini Unguja
Aliyekua Waziri wa Fedha na mipango  Dk. Khalid Mohammed Salum, akizungumza machache baada ya kukabidhiana hati za kufanyia kazi ofisi hiyo (
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar, Bolozi Mohammed Ramia Abdiwawa akizungumza baada ya kukabidhiwa hati za kufanyia kazi  ofisi hiyo




Maafisa  mbalimbali walio chini ya Wizara ya Fedha na Mipango waliohudhuria katika ghafla ya makabidhiano yaliofanyika Wizara hiyo Vuga Mjini Unguja Picha na Abdalla Omar). 


Hivyo makala Makabidhiano ya Ofisi Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Yafanyika Katika Jengo la Wizara ya Fedha Vuga Zanzibar

yaani makala yote Makabidhiano ya Ofisi Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Yafanyika Katika Jengo la Wizara ya Fedha Vuga Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makabidhiano ya Ofisi Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Yafanyika Katika Jengo la Wizara ya Fedha Vuga Zanzibar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/makabidhiano-ya-ofisi-wizara-ya-fedha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Makabidhiano ya Ofisi Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Yafanyika Katika Jengo la Wizara ya Fedha Vuga Zanzibar"

Post a Comment

Loading...