Loading...
title : MAKAMU WA RAIS AZINDUA KONGAMANO LA 7 LA AFYA NA SAYANSI AFRIKA MASHARIKI
link : MAKAMU WA RAIS AZINDUA KONGAMANO LA 7 LA AFYA NA SAYANSI AFRIKA MASHARIKI
MAKAMU WA RAIS AZINDUA KONGAMANO LA 7 LA AFYA NA SAYANSI AFRIKA MASHARIKI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kongamano la 7 la Afya na Sayansi la Afrika Mashariki lililofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasha mwenge kama ishara ya ufunguzi wa Kongamano la 7 la Afya na Sayansi la Afrika Mashariki lililofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Sehemu ya Wataalamu waliohudhuria ufunguzi wa Kongamano la 7 la Afya na Sayansi la Afrika Mashariki lililofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AZINDUA KONGAMANO LA 7 LA AFYA NA SAYANSI AFRIKA MASHARIKI
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AZINDUA KONGAMANO LA 7 LA AFYA NA SAYANSI AFRIKA MASHARIKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AZINDUA KONGAMANO LA 7 LA AFYA NA SAYANSI AFRIKA MASHARIKI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/makamu-wa-rais-azindua-kongamano-la-7_27.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AZINDUA KONGAMANO LA 7 LA AFYA NA SAYANSI AFRIKA MASHARIKI"
Post a Comment