Loading...
title : MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA KONGAMANO LA KUMPONGEZA DKT SHEIN
link : MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA KONGAMANO LA KUMPONGEZA DKT SHEIN
MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA KONGAMANO LA KUMPONGEZA DKT SHEIN
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan tayari amewasili kwenye Kongamano la Kumpongeza Dkt. Ali Mohammed Shein Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar katika uwanja wa Hoteli ya Verde, leo tarehe 16 Machi, 2019.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Taifa, Gaudencia Kabaka ,wakati akiwasili kwenye Kongamano la Kumpongeza Dkt. Ali Mohammed Shein Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar katika uwanja wa Hoteli ya Verde, leo tarehe 16 Machi, 2019.
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA KONGAMANO LA KUMPONGEZA DKT SHEIN
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA KONGAMANO LA KUMPONGEZA DKT SHEIN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA KONGAMANO LA KUMPONGEZA DKT SHEIN mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/makamu-wa-rais-samia-suluhu-hassan_16.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA KONGAMANO LA KUMPONGEZA DKT SHEIN"
Post a Comment